umejichokea sikuhizi hunahata mvuto wacha jiji lifunguke kibiashara wewe nenda kamshauri lissu jinsi ya kueneza no reform no election kitu kilicho feli toka kimeanzishwaKabla ya kuanzisha mpango huu sisi wengine tulidhani labda wangefanya utafiti wa kujua Wateja wa maduka ya kariakoo wanatoka wapi.
Ukijua wateja hao wanakotokea bila shaka utajua pia kama usafiri wa kuwaleta kariakoo usiku huo wa manane unapatikana.
Katika Nchi ambayo Usalama wa Raia siyo kipaumbele ni nani anaweza kutoka Mbagala, Bonyokwa, Mwanyamala kisiwani au Buza kwa Lulenge usiku mnene kwenda Kariakoo kununua bidhaa, Ili iweje?
View attachment 3250226