Usafiri kwa sisi wahenga, tunajua ulikuwepo tangu siku nyingi kabla haujapigwa marufuku. Karibu mabasi yote ya safari ndefu yalisafiri usiku. Kwa hiyo usarishaji usiku si mgeni, lakini biashara kwa usiku sijui kama itafaniwe. Let's wait and see..ila sio kitu kibaya kiongozi..ni kama usafiri wa mabasi ya usiku..now kila Mtanzania anaprefer kusafiri usiku..ni mwanzo mzuri..TUTAZOEA