Walipoanzisha Mpango wa biashara ya saa 24 Kariakoo walidhani nani atakesha na atamuuzia nani?

..ila sio kitu kibaya kiongozi..ni kama usafiri wa mabasi ya usiku..now kila Mtanzania anaprefer kusafiri usiku..ni mwanzo mzuri..TUTAZOEA
Usafiri kwa sisi wahenga, tunajua ulikuwepo tangu siku nyingi kabla haujapigwa marufuku. Karibu mabasi yote ya safari ndefu yalisafiri usiku. Kwa hiyo usarishaji usiku si mgeni, lakini biashara kwa usiku sijui kama itafaniwe. Let's wait and see
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…