Walipokusanyika wanajeshi wao ndipo tulipopiga makombora yetu.- Iran 🇮🇷

Walipokusanyika wanajeshi wao ndipo tulipopiga makombora yetu.- Iran 🇮🇷

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,914
Reaction score
168,320
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) limedai kufanya mashambulizi ya pamoja kwa kutumia makombora na ndege zisizo na rubani (drones) dhidi ya rada ya mfumo wa ulinzi wa C-RAM katika Kambi ya Ali Al Salem nchini Kuwait, pamoja na eneo lililodaiwa kuwa mahali pa mkusanyiko wa wanajeshi wa Marekani.

Kwa mujibu wa taarifa ya IRGC, mashambulizi hayo yalifanyika katika wimbi la nane la Operesheni Nasr 2, kufuatia kile ilichokiita mashambulizi ya adui dhidi ya maeneo ya pwani na miji ya kusini mwa Iran yaliyofanyika usiku uliopita.

Katika taarifa hiyo, IRGC pia ilidai kuwa Marekani inatumia ardhi ya Kuwait kutekeleza mashambulizi dhidi ya Iran, huku ikitoa wito kwa wananchi wa Kuwait kuondoa uwepo wa vikosi vya kigeni nchini humo.
 
Iran inatumia hoja dhaifu kupiga nchi zingine kijinga jinga. Shabaha zenyewe hawana usikute washalipua Soko lenye waarabu huko...

Tatizo la Iran nadhani wanakunywa Pombe kali za usuri VAT 68 hadi leo hii, so akili zao hata za mjinga zina nafuu.

Israel ainge tu mzigoni aondoshe wajinga wengine waliobakia hii Regime inachosha tu leo wanakubali kesho wanalipua wasio na hatia.

Wapigwe tu in ''Pinda's voice''
 
Vita ni mbinu na timing,unaweza ukute siku Moja TU ukasikia bomu linatua usa.usifichue silaha zako zote wakati mambo hayajachanganya
 
Iran inatumia hoja dhaifu kupiga nchi zingine kijinga jinga. Shabaha zenyewe hawana usikute washalipua Soko lenye waarabu huko...

Tatizo la Iran nadhani wanakunywa Pombe kali za usuri VAT 68 hadi leo hii, so akili zao hata za mjinga zina nafuu.

Israel ainge tu mzigoni aondoshe wajinga wengine waliobakia hii Regime inachosha tu leo wanakubali kesho wanalipua wasio na hatia.

Wapigwe tu in ''Pinda's voice''

Umeandika utumbo kama kawaida yako 😇👈.

Iranian ndio mwenye Shabahaa kali sana ktk ilo eneo weka akilini mwako ilo!!!

Kufikia sasa safari za Pakistan
Zitaanza upya kuwazuiya Wa Iranian mana anaefata sasa ni Israel mwenyewe!!!💩

Zimepigwa kambi za Marekani kwanzia Syria💥💥
Jordan 💥💥
Qatar💥💥
Oman 💥💥
Saudia 💥💥
Wakurdi wa Iraq 💥💥
Kuwait 💥💥
Bahrain 💥💥
UAE 💥💥

hali ni tete kwa Marekani
Tatizo ni lile lile kushindwa kuzuiya Technology ya Makombora ya Iranian!!

Iranian wapo mbele ya muda.
 
Nasasa tumpe Muda tu lkn Trump lazima hatabananishwa upyaa !!!

na tutaona miguu yake ikichezacheza Pakistan Qatar muhimu kwake kuzima MOTO tu.
 
Miezi michache ijayo Iran hata safari za ndani zitakuwa hazipo kwa sababu miundombinu inaangamizwa mbele ya macho yao na hamna wanachoweza kufanya.
 
Wanaficha tu mkuu lkn Iranian inapeleka MOTO sio poaaa

Ata kipindi kile ilikuwa ivi ivi lkn gafra tukasikia wapo Pakistan kwa jiran wa Iranian yote yale msingi wake ni MOTO wa Iranian ✅️

baada ya Russia kugomea kupatanisha!!
Hebu wawanyooshe Hawa machoko,marekani na Israel roho yangu itulie.
 
Juzi Marekani alimlalamikia Urusi kumsaidia Iran, inawezekana kuna ukweli japo siamini maana siku hizi vita inapigwana kwa propaganda.
 
Back
Top Bottom