Walipokusanyika wanajeshi wao ndipo tulipopiga makombora yetu.- Iran 🇮🇷

Iran inatumia hoja dhaifu kupiga nchi zingine kijinga jinga. Shabaha zenyewe hawana usikute washalipua Soko lenye waarabu huko...

Tatizo la Iran nadhani wanakunywa Pombe kali za usuri VAT 68 hadi leo hii, so akili zao hata za mjinga zina nafuu.

Israel ainge tu mzigoni aondoshe wajinga wengine waliobakia hii Regime inachosha tu leo wanakubali kesho wanalipua wasio na hatia.

Wapigwe tu in ''Pinda's voice''
Soko lenye Waarabu!

Screenshot_2026-07-18-20-41-14-73_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Iran wamedai daraja lililovunjwa juzi,silaha iliyotumika kuvunja lile daraja ni ghali zaidi ya kujenga upya lile daraja,na leo gari zimeanza kupita chini ya lile daraja 😃

Nikweli kabisa Wairani wanaishi kama wapo Vitani hawataki kujenga mambo makubwaaa🤠
 
Iran inatumia hoja dhaifu kupiga nchi zingine kijinga jinga. Shabaha zenyewe hawana usikute washalipua Soko lenye waarabu huko...

Tatizo la Iran nadhani wanakunywa Pombe kali za usuri VAT 68 hadi leo hii, so akili zao hata za mjinga zina nafuu.

Israel ainge tu mzigoni aondoshe wajinga wengine waliobakia hii Regime inachosha tu leo wanakubali kesho wanalipua wasio na hatia.

Wapigwe tu in ''Pinda's voice''
Wanajeshi wa usa tayari washaliwa vichwa japo wametangaza wawili sijui 3 na kadhaa wamejeruhiwa hapo number wamepunguza..target unayo ww unayejuwa kucomment
 
Umeandika utumbo kama kawaida yako 😇👈.

Iranian ndio mwenye Shabahaa kali sana ktk ilo eneo weka akilini mwako ilo!!!

Kufikia sasa safari za Pakistan
Zitaanza upya kuwazuiya Wa Iranian mana anaefata sasa ni Israel mwenyewe!!!💩

Zimepigwa kambi za Marekani kwanzia Syria💥💥
Jordan 💥💥
Qatar💥💥
Oman 💥💥
Saudia 💥💥
Wakurdi wa Iraq 💥💥
Kuwait 💥💥
Bahrain 💥💥
UAE 💥💥

hali ni tete kwa Marekani
Tatizo ni lile lile kushindwa kuzuiya Technology ya Makombora ya Iranian!!

Iranian wapo mbele ya muda.
Akishaasafisha hapo israel anakuwa uchi hebu fikiria haya makambi yote ni kuajili ya kuilikda israel .. kwa kutumia early warnig na kuazisha mashambulizi kutokea hapo .. bila hizo kambi usa hawezi kushambulia irani kwa siku zaidi ya 4 maana gharama yake ni kubwa mno
 
Wabongo wengi hawajui hilo,china pia kwenye mafuta ni mnufaika mkubwa wa iran,trump anachopambana pale waweke mtu wao ili aweze kucontrol mafuta na gesi ya iran kama alivyofanya venezuela,yote kupunguza nguvu za russia na china
Kwa bahati mbaya ameyakosa na anaenda kufukuzwa mashariki ya kati .. mtaka vingi kwa pupa hukosa vyote
 
Kaka Mimi Niko upande wa Iran. Tatizo wanapigwa kama mtoto hadi wananikera.
Vita sio ngumi kaka. Iran anapitia wakati mgumu sana.Mwananchi wa kawaida ndio anajua. Ni kama Tanzania na takwimu zetu za maendeleo. Mwananchi wa kawaida ndio anayaona ahayo yanayoitwa maendeleo makubwa, wakati akibisha kuhusu ukubwa wa mhogo wa mia mbili na mama ntilie.

Wakubwa Iran wanakula kuku, maini, firigisikama ilivyo kwa wakubwa Marekani. Mwananchi wa kawaida ndio anaskilizia joto ya jiwe.

Iran angeachana na mambo ya Israel, Hamas, Houthi n.k na nuclear weapon akomae kujenga nchi tu. Hao kina Russia na China ni wazushi tu anytime maji yakizidi unga wanakuacha mwenyewe. Hii mijamaa ya Marekani na Ulaya Magharibi iko mbele ya muda sana, wako mwaka 2090, wakati tupo 2026.
 
Kuna jamaa alikwenda kwenye mazishi ya Khamenei, alikuwa anasema watu wa Iran wanakula maisha sana na wanaipenda sana viongozi na nchi yao tofauti na vile sisi tunavyofikiria.

Jamaa anadai kuwa, ambao hawapendi viongozi walioko madarakani ni wafanyabiashara wakubwa ambao wanataka wawekeze nje ya nchi.

Sasa sijui madai ya jamaa yanaukweli kiasi gani.
 
Baada ya kipigo kutoka kitakatifu kutoka kwa Waajemi na askari kufa na majerubi kibao pamoja na kupasuliwa rada zao Trump aomba kusitisha mashambulizi
 
Iran inatumia hoja dhaifu kupiga nchi zingine kijinga jinga. Shabaha zenyewe hawana usikute washalipua Soko lenye waarabu huko...

Tatizo la Iran nadhani wanakunywa Pombe kali za usuri VAT 68 hadi leo hii, so akili zao hata za mjinga zina nafuu.

Israel ainge tu mzigoni aondoshe wajinga wengine waliobakia hii Regime inachosha tu leo wanakubali kesho wanalipua wasio na hatia.

Wapigwe tu in ''Pinda's voice''
Umeandika kama kuku aliyekatwa kichwa!
Israel apambane na Iran bila marekan?!!!
Basi leo hii Hormuz ingekuwa wazi.
Hebu jitahidi kujipa maarifa na taarfa kuhusu jiopolitiks
 
Iran inatumia hoja dhaifu kupiga nchi zingine kijinga jinga. Shabaha zenyewe hawana usikute washalipua Soko lenye waarabu huko...

Tatizo la Iran nadhani wanakunywa Pombe kali za usuri VAT 68 hadi leo hii, so akili zao hata za mjinga zina nafuu.

Israel ainge tu mzigoni aondoshe wajinga wengine waliobakia hii Regime inachosha tu leo wanakubali kesho wanalipua wasio na hatia.

Wapigwe tu in ''Pinda's voice''
yale mazishi ya wanajeshi wa marekani kule marekani yalikuwa ya wauza nyanya sokoni eeeh!!
 
Umeandika utumbo kama kawaida yako 😇👈.

Iranian ndio mwenye Shabahaa kali sana ktk ilo eneo weka akilini mwako ilo!!!

Kufikia sasa safari za Pakistan
Zitaanza upya kuwazuiya Wa Iranian mana anaefata sasa ni Israel mwenyewe!!!💩

Zimepigwa kambi za Marekani kwanzia Syria💥💥
Jordan 💥💥
Qatar💥💥
Oman 💥💥
Saudia 💥💥
Wakurdi wa Iraq 💥💥
Kuwait 💥💥
Bahrain 💥💥
UAE 💥💥

hali ni tete kwa Marekani
Tatizo ni lile lile kushindwa kuzuiya Technology ya Makombora ya Iranian!!

Iranian wapo mbele ya muda.
Rada zote zimeshaaunguzwa ambazo ziliwekwa na usa kumlinda israel kama first line of defence and early warnig system
 
yale mazishi ya wanajeshi wa marekani kule marekani yalikuwa ya wauza nyanya sokoni eeeh!!
Wamelengwa wakiwa kilometa 900 huko halafu jamaa anadai hawana shabaha aisee hii nimeona hata usa wameshaanza kuogopa
 
Hivi kwa nini wabongo manakuwa mnajizima data hivyo .. bila hao washirika , logistically hamna jinsi usa ataweza kuendesha vita hapo mashariki ya kati .. akirusha mdege kwa week moja tu kutoka relavive au cipras gharama inaweza fika bill 70 .. kwa hiyo hizo kambi hapo ni mhim sana .. kuendesha vita
 
Tatizo wamebeba zigo zito la Ulokole
Vichwani mwao!!

Ndiomana tunasemaga Ulokole mzigo mzito kwa Taifa✍️
 
Jana Trump kasema ategemei kupiga Iran wana mskubaliano wamefanya naona hii imekaa sawa Iran angekua mnyonge wangefanya kama walivyofanya kwa Madulo..
 
Iran inatumia hoja dhaifu kupiga nchi zingine kijinga jinga. Shabaha zenyewe hawana usikute washalipua Soko lenye waarabu huko...

Tatizo la Iran nadhani wanakunywa Pombe kali za usuri VAT 68 hadi leo hii, so akili zao hata za mjinga zina nafuu.

Israel ainge tu mzigoni aondoshe wajinga wengine waliobakia hii Regime inachosha tu leo wanakubali kesho wanalipua wasio na hatia.

Wapigwe tu in ''Pinda's voice''
Wanapigwa wamarekani wa ME unaumia wewe wa jf 😜
 
Vita sio ngumi kaka. Iran anapitia wakati mgumu sana.Mwananchi wa kawaida ndio anajua. Ni kama Tanzania na takwimu zetu za maendeleo. Mwananchi wa kawaida ndio anayaona ahayo yanayoitwa maendeleo makubwa, wakati akibisha kuhusu ukubwa wa mhogo wa mia mbili na mama ntilie.

Wakubwa Iran wanakula kuku, maini, firigisikama ilivyo kwa wakubwa Marekani. Mwananchi wa kawaida ndio anaskilizia joto ya jiwe.

Iran angeachana na mambo ya Israel, Hamas, Houthi n.k na nuclear weapon akomae kujenga nchi tu. Hao kina Russia na China ni wazushi tu anytime maji yakizidi unga wanakuacha mwenyewe. Hii mijamaa ya Marekani na Ulaya Magharibi iko mbele ya muda sana, wako mwaka 2090, wakati tupo 2026.
Endelea kua na akili za kushikiwa hivyo hivyo
Uzuri iran sio vilaza
 
Back
Top Bottom