Vita sio ngumi kaka. Iran anapitia wakati mgumu sana.Mwananchi wa kawaida ndio anajua. Ni kama Tanzania na takwimu zetu za maendeleo. Mwananchi wa kawaida ndio anayaona ahayo yanayoitwa maendeleo makubwa, wakati akibisha kuhusu ukubwa wa mhogo wa mia mbili na mama ntilie.
Wakubwa Iran wanakula kuku, maini, firigisikama ilivyo kwa wakubwa Marekani. Mwananchi wa kawaida ndio anaskilizia joto ya jiwe.
Iran angeachana na mambo ya Israel, Hamas, Houthi n.k na nuclear weapon akomae kujenga nchi tu. Hao kina Russia na China ni wazushi tu anytime maji yakizidi unga wanakuacha mwenyewe. Hii mijamaa ya Marekani na Ulaya Magharibi iko mbele ya muda sana, wako mwaka 2090, wakati tupo 2026.