Walipokusanyika wanajeshi wao ndipo tulipopiga makombora yetu.- Iran 🇮🇷

Walipokusanyika wanajeshi wao ndipo tulipopiga makombora yetu.- Iran 🇮🇷

Miezi michache ijayo Iran hata safari za ndani zitakuwa hazipo kwa sababu miundombinu inaangamizwa mbele ya macho yao na hamna wanachoweza kufanya.

Kweli lkn Miundombinu ya Iranian ni garama ndogo sana ukilinganisha na ile inapigwa kule Saudia Arabia nk.

Lkn mwisho wa Vita Ni Marekani inabeba jukumu la garama muda ndio Mwalimu 👈

so Iranian inakwambia kupigwa popote nikupigwa proo American popote💪

na American anatoa macho tu!!

Mana mwenyewe inatandikwa sasa unafanyaje😂😂

kama ndio ww Imeloa ndio wenye Saudia ungefanyaje??

Zaidi ya kumkimbiza Marekani ili upate Salama yako

Wakukulinda nayeye anachezea kichapo mbele ya macho
yako😂😂😂
 
Tukiwaambiaa Iranian ndio Wayahudi Og nyinyi amuelewi mnakazania wale Upinde ndio Wayahudi

Yahudi na Upinde wapi na
wapi 🤠🤠
 
Attachments

  • IMG_20260613_092647.jpg
    IMG_20260613_092647.jpg
    111.8 KB · Views: 13
Mkuu wale wanajilinda kumbuka Vita vimeanzishwa na Marekani kwa ubeberu tu lengo rasilimali zao pale kuna Gas Mafuta nk. Hii ndio chanzo cha Vita mengine yote ni visingizio tu!!!!
Wabongo wengi hawajui hilo,china pia kwenye mafuta ni mnufaika mkubwa wa iran,trump anachopambana pale waweke mtu wao ili aweze kucontrol mafuta na gesi ya iran kama alivyofanya venezuela,yote kupunguza nguvu za russia na china
 
Kweli lkn Miundombinu ya Iranian ni garama ndogo sana ukilinganisha na ile inapigwa kule Saudia Arabia nk.

Lkn mwisho wa Vita Ni Marekani inabeba jukumu la garama muda ndio Mwalimu 👈

so Iranian inakwambia kupigwa popote nikupigwa proo American popote💪

na American anatoa macho tu!!

Mana mwenyewe inatandikwa sasa unafanyaje😂😂

kama ndio ww Imeloa ndio wenye Saudia ungefanyaje??

Zaidi ya kumkimbiza Marekani ili upate Salama yako

Wakukulinda nayeye anachezea kichapo mbele ya macho
yako😂😂😂
Iran wamedai daraja lililovunjwa juzi,silaha iliyotumika kuvunja lile daraja ni ghali zaidi ya kujenga upya lile daraja,na leo gari zimeanza kupita chini ya lile daraja 😃
 
Miezi michache ijayo Iran hata safari za ndani zitakuwa hazipo kwa sababu miundombinu inaangamizwa mbele ya macho yao na hamna wanachoweza kufanya.
Hamna wanachoweza kufanya!?
Kabla hatujakuelekeza chochote, huko ulipo mafuta, yaani diesel na petrol mnanunua bei gani kwa lita?
 
Tatizo Iran 🇮🇷 hasira zake anapeleka sehemu nyingine, awawashie moto marekani huko huko.
 
Hamna wanachoweza kufanya!?
Kabla hatujakuelekeza chochote, huko ulipo mafuta, yaani diesel na petrol mnanunua bei gani kwa lita?
That's not withstanding, we knew there are some sacrifices that we will have to make for the sake of the global peace and tranquility to prevail so whatever the predicament the world will go through will be worthwhile.
 
Iran inatumia hoja dhaifu kupiga nchi zingine kijinga jinga. Shabaha zenyewe hawana usikute washalipua Soko lenye waarabu huko...

Tatizo la Iran nadhani wanakunywa Pombe kali za usuri VAT 68 hadi leo hii, so akili zao hata za mjinga zina nafuu.

Israel ainge tu mzigoni aondoshe wajinga wengine waliobakia hii Regime inachosha tu leo wanakubali kesho wanalipua wasio na hatia.

Wapigwe tu in ''Pinda's voice''
Mi nataka nifute ilo neno iran niweke marekani
 
Tukiwaambiaa Iranian ndio Wayahudi Og nyinyi amuelewi mnakazania wale Upinde ndio Wayahudi

Yahudi na Upinde wapi na
wapi 🤠🤠
Yaani wayahudi ndio wawe washia, wewe achana na bangi ya milima usambaa.
 
That's not withstanding, we knew there are some sacrifices that we will have to make for the sake of the global peace and tranquility to prevail so whatever the predicament the world will go through will be worthwhile.
Ghafla umegeukia Kiingereza, unadhani sikijui. Goddammit!!!

"We?"
You do not even know what you are talking about!
Is the USA truly fighting Iran for the sake of global peace?
Can you explain this fallacy of yours?
 
Iran waliposema eti watazima starlink nikaona ni booge la waongo satellite unaizimaje wakati huimiliki?
Umeshindwa hata kuangalia vyanzo vya kuaminika vya kimataifa kujua walizimaje? Grow up! Starlink ni kazi ya mikono ya wanadamu, hivyo wanadamu wanaweza kui hijack kiteknolojia kama walivyoweza kuitengeneza.
 
Kinachonikera ni kwamba wanajibu mashambulizi kwa udhaifu sana.
Yeah, wanajibu kinyonge. Ningefurahi kuona wanajibu ndani ya Israel kwa kutarget askari wa Israel au miundombinu ya kijeshi. Kushindwa kufanya hivyo, kuonaonesha udhaifu mkubwa sana ndani ya jeshi la Iran kiteknolojia.
 
Fact. Hii inafanya sisi mashabiki Iran tuonekane hatuna akili nzuri.
 
Back
Top Bottom