Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Vita ni mbinu na timing,unaweza ukute siku Moja TU ukasikia bomu linatua usa.usifichue silaha zako zote wakati mambo hayajachanganyaIran inatumia hoja dhaifu kupiga nchi zingine kijinga jinga. Shabaha zenyewe hawana usikute washalipua Soko lenye waarabu huko...
Tatizo la Iran nadhani wanakunywa Pombe kali za usuri VAT 68 hadi leo hii, so akili zao hata za mjinga zina nafuu.
Israel ainge tu mzigoni aondoshe wajinga wengine waliobakia hii Regime inachosha tu leo wanakubali kesho wanalipua wasio na hatia.
Wapigwe tu in ''Pinda's voice''
Iran inatumia hoja dhaifu kupiga nchi zingine kijinga jinga. Shabaha zenyewe hawana usikute washalipua Soko lenye waarabu huko...
Tatizo la Iran nadhani wanakunywa Pombe kali za usuri VAT 68 hadi leo hii, so akili zao hata za mjinga zina nafuu.
Israel ainge tu mzigoni aondoshe wajinga wengine waliobakia hii Regime inachosha tu leo wanakubali kesho wanalipua wasio na hatia.
Wapigwe tu in ''Pinda's voice''
Iran waliposema eti watazima starlink nikaona ni booge la waongo satellite unaizimaje wakati huimiliki?
Iran waache upumbavu.
Kinachonikera ni kwamba wanajibu mashambulizi kwa udhaifu sana.Mkuu wale wanajilinda kumbuka Vita vimeanzishwa na Marekani kwa ubeberu tu lengo rasilimali zao pale kuna Gas Mafuta nk. Hii ndio chanzo cha Vita mengine yote ni visingizio tu!!!!
Kinachonikera ni kwamba wanajibu mashambulizi kwa udhaifu sana.
Usiringanishe ccm na Iran nduguIran wamejaa ujinga kama wa wana CCM
KakaIran waache upumbavu.
Hebu wawanyooshe Hawa machoko,marekani na Israel roho yangu itulie.Wanaficha tu mkuu lkn Iranian inapeleka MOTO sio poaaa
Ata kipindi kile ilikuwa ivi ivi lkn gafra tukasikia wapo Pakistan kwa jiran wa Iranian yote yale msingi wake ni MOTO wa Iranian ✅️
baada ya Russia kugomea kupatanisha!!
Kaka Mimi Niko upande wa Iran. Tatizo wanapigwa kama mtoto hadi wananikera.Kaka
Kumbe wewe ni taifa teule + marekanii