Walituambia Umeme wa maji umepitwa na wakati, huku wao wanajenga na kupanua mabwawa yao. Wazungu wasanii sana

Walituambia Umeme wa maji umepitwa na wakati, huku wao wanajenga na kupanua mabwawa yao. Wazungu wasanii sana

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
3,410
Reaction score
8,184
Nimekumbuka mwaka 2018 jinsi magufuli alivyokuwa anapingwa kujenga bwawa la umeme.

Ila wazungu hao hao wa marekani na canada wao wanajenga mabwawa mapya na kuboresha mabwawa ya zamani kwenye nchi zao. Kama umeme wa maji umepitwa na wakati, kwa nini wao wanajenga mabwawa ya umeme zama hizi


Screenshot_20241023-202910_Firefox.jpg
Screenshot_20241023-203847_Firefox.jpg
 
mzungu gani huyo aliyekwambia kwamba umeme wa maji umepitwa na wakati? hayo maneno ya umeme wa maji kupitwa na wakati yalisemwa na watanzagiza akina makamba, nape & co. mzungu hawezi kuongea ujinga kama huo, malow iq wa tanzagiza ndiyo waliokuwa wakisema hivyo umeme wa maji umepitwa na ndiyo waliokuwa wapingaji wakuu ingawaje umeme wa maji sasa hivi wanautumia hata treni ya umeme waliipinga waliita kwa kejeli “maendeleo ya vitu” leo hii akina mnyika wanachekelea tu kwenye treni ya umeme …
 
Wazungu gani walisema hivo. Au yalikua ni maoni ya mzungu mmoja wewe ukaamua kujumlisha wazungu wote humo humo..
 
professor Muhongo ndie aliesema hivyo baada ya kupewa rushwa na kampuni za gesi

alijua bwawa likijengwa atakosa chakula
 
Back
Top Bottom