mzungu gani huyo aliyekwambia kwamba umeme wa maji umepitwa na wakati? hayo maneno ya umeme wa maji kupitwa na wakati yalisemwa na watanzagiza akina makamba, nape & co. mzungu hawezi kuongea ujinga kama huo, malow iq wa tanzagiza ndiyo waliokuwa wakisema hivyo umeme wa maji umepitwa na ndiyo waliokuwa wapingaji wakuu ingawaje umeme wa maji sasa hivi wanautumia hata treni ya umeme waliipinga waliita kwa kejeli “maendeleo ya vitu” leo hii akina mnyika wanachekelea tu kwenye treni ya umeme …