#COVID19 Walitumia nguvu kubwa kuwatisha watu juu ya chanjo, leo wanashangaa wananchi kuogopa chanjo

#COVID19 Walitumia nguvu kubwa kuwatisha watu juu ya chanjo, leo wanashangaa wananchi kuogopa chanjo

Kwa hiyo wewe lengo lako ni kutumai nguvu kubwa kuwaaminisha Watanzania kwamba kuchanjwa ni salama wakati hata wataalamu wenyewe wanachallenge? Chanjo unayoisema ni kitu kizuri unaifahamu wewe?



Nlitegemea kabisa utatumia muda wako kutafuta habari sahihi za kusaidia taifa badala ya kuhamisisha ghirba na hila za kuimarisha udanganyifu. Wewe watanzania wakidhurika na hayo machanjo, hamtasema kwamba "rais alishauriwa vibaya:? Kwa hasara ya nani wakati kila kitu kiko wazi kwamba hii si chanjo ya Corona?

Naomba uwe mjumbe wa habari njema. Chanjo na dawa hii hapa. Watanzania hatutakiwi kuwa na hofu yoyte ama kufa kwa chanjo isiyoeleweka.


Chanjo zote na dawa zote tunazotumia zina madhara. Hatujawahi kuona viongozi wakieneza conspirancie kuwa tusitumie zina madhara. Madhara hayo hayajawahi kutufanya tuache kutumia dawa na chanjo. Tuna weigh faida na hasara. Na ndiyo maana dawa zenye madhara mabaya sana kama Ketoconazole zimetolewa sokoni. We unasema hiyo siyo chanjo ya Corona, ni chanjo ya nini?
 
"Chanjo hazifai" halafu kuna mtu anatuona wajinga na kusema tulimuelewa rais vibaya!
AA591U.jpg
 
Back
Top Bottom