#COVID19 Walitumia nguvu kubwa kuwatisha watu juu ya chanjo, leo wanashangaa wananchi kuogopa chanjo

Chanjo zote na dawa zote tunazotumia zina madhara. Hatujawahi kuona viongozi wakieneza conspirancie kuwa tusitumie zina madhara. Madhara hayo hayajawahi kutufanya tuache kutumia dawa na chanjo. Tuna weigh faida na hasara. Na ndiyo maana dawa zenye madhara mabaya sana kama Ketoconazole zimetolewa sokoni. We unasema hiyo siyo chanjo ya Corona, ni chanjo ya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…