Wallace Karia akamatwe mara moja kwa kuhujumu Mechi ya Simba na Yanga , akibanwa atawataja waliomtuma

Wallace Karia akamatwe mara moja kwa kuhujumu Mechi ya Simba na Yanga , akibanwa atawataja waliomtuma

TFF na wizara wamehujumu uchumi kwa mechi ya jana.
 
Kuahirisha kwa mechi ni mpango ulioihusisha SIMBA na TFF ili kutimiza mashariti ya ushirikina.

Simba walikuwa na hofu sana mwanzo ya kucheza siku yenye namba 8. Ulozi umehusika pakubwa hapa!
Nyie ndo wajinga wajinga anaowasema Mecky yan karne ya 21 unaamini sijui mambo ya nyota na upuuzi mwingine.
So pathetic.
 
Kuahirisha kwa mechi ni mpango ulioihusisha SIMBA na TFF ili kutimiza mashariti ya ushirikina.

Simba walikuwa na hofu sana mwanzo ya kucheza siku yenye namba 8. Ulozi umehusika pakubwa hapa!
Niliona clip moja msemaji wa Simba anasema tukicheza nao tarehe 8, 18 na 28 hatutoki. Na tukicheza nao tarehe 2, 12 na 22 hawatoki. Halafu jana ilikuwa tarehe 8, kuna haja ya kujiuliza nani alivuruga mechi kweli na majibu yako hapo.
Inasikitisha sana kama uwekezaji mkubwa unaotajwa umewekezwa hadi wizarani, BMT na TFF.
 
Nyie ndo wajinga wajinga anaowasema Mecky yan karne ya 21 unaamini sijui mambo ya nyota na upuuzi mwingine.
So pathetic.
Wewe huwajui vizuri mikia
 
Attachments

  • 181173331_373106804025019_8546256154973109922_n (1).mp4
    3.1 MB
Hili jambo lisipite bila wahusika kuwajibishwa.

Watu wameingia hasara sana ukipiga hesabu ni mabillion ya pesa yamepotea leo. Kuanzia kwenye vilabu, mashabiki, media, wafanyabiashara n.k.

Tumepoteza pesa nyingi sana leo kama nchi, wasipowajibisha hatutawaelewa wahusika.
Hadi vibanda umiza huku na mabar wamekosa hela za viingilio vya mashabiki pamoja na kuuza vinywaji
 
Hawa kenge jana walivuliwa nguo na utopolo, kweli dunia sio fair inatakiwa walipe gharama za mashabiki ili iwe fundisho, ila najua hamna wa kuwadhibu tusubilie majibu mepesi na trh ya marudio
 
Karia mnamuonea bure. Mbona taarifa yao ipo wazi sana kuwa ni maelekezo kutoka Serikalini?!
TFF inawajibika kwa FIFA tu , huko serikalini labda iwe ni kwa masuala ya Viwanja vya kuchezea tu
 
Yeye ndie msimamizi wa kanuni za soka,alishindwa nini kuiambia serikali kanuni ziko vipi!alichukulia kitu rahisi tu,na Yanga wakahit back kwa kusimamia kanuni kama hao tff wanavyotumia kanuni kuwafungia viongozi wao

Tuache Kudanganyana Ninachojua mimi kwenye Serikali hii ya Chama cha Mapinduzi linapokuja suala la Maagizo hakuna mwenye Ubavu wa kuhoji Vifungu vya Sheria vikafanya kazi That's Why Ndugai anavunja Sheria Waziwazi na hakuna Mwenye uwezo wa kumfanya chochote.
Hivyo kwasababu hupo pale kwenye Nafsi ndiyo unaanza kutaka Sheria, Lakini nakuhakikishia hata ungelikuwa wewe pale TFF ungeumia moyoni lakini usingethubutu kuhoji Barua ya Bashungwa. Tunamlaumu bure Karia.
 
Kuahirisha kwa mechi ni mpango ulioihusisha SIMBA na TFF ili kutimiza mashariti ya ushirikina.

Simba walikuwa na hofu sana mwanzo ya kucheza siku yenye namba 8. Ulozi umehusika pakubwa hapa!

Karne ya 21 yenye miaka 21 bado Dunia ina watu kama hawa
 
Niliona clip moja msemaji wa Simba anasema tukicheza nao tarehe 8, 18 na 28 hatutoki. Na tukicheza nao tarehe 2, 12 na 22 hawatoki. Halafu jana ilikuwa tarehe 8, kuna haja ya kujiuliza nani alivuruga mechi kweli na majibu yako hapo.
Inasikitisha sana kama uwekezaji mkubwa unaotajwa umewekezwa hadi wizarani, BMT na TFF.

Clip kama hiyo lazima iwe Viral, leta hiyo Clip wacha porojo sio muda wa kuchamba huu.
 
Tutajuaje kuwa mikia hawahusiki na tukio hili?!

Wahusika ni TFF na WIZARA

Wizara inaongozwa na Bashungwa ambaye ni Yanga lialia na ndiyomana Bungeni Tarimba alijibiwa kuwa Timu zao zinazofungwa na Yanga lazima zikubali Matokeo.

Sasa sijui utamuhusisha vipi Simba na hujuma za Wizara inayoongozwa na Mwanayanga?
 
Back
Top Bottom