Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie ndo wajinga wajinga anaowasema Mecky yan karne ya 21 unaamini sijui mambo ya nyota na upuuzi mwingine.Kuahirisha kwa mechi ni mpango ulioihusisha SIMBA na TFF ili kutimiza mashariti ya ushirikina.
Simba walikuwa na hofu sana mwanzo ya kucheza siku yenye namba 8. Ulozi umehusika pakubwa hapa!
Niliona clip moja msemaji wa Simba anasema tukicheza nao tarehe 8, 18 na 28 hatutoki. Na tukicheza nao tarehe 2, 12 na 22 hawatoki. Halafu jana ilikuwa tarehe 8, kuna haja ya kujiuliza nani alivuruga mechi kweli na majibu yako hapo.Kuahirisha kwa mechi ni mpango ulioihusisha SIMBA na TFF ili kutimiza mashariti ya ushirikina.
Simba walikuwa na hofu sana mwanzo ya kucheza siku yenye namba 8. Ulozi umehusika pakubwa hapa!
Mjinga mwingine ni Manara ndiye aliyeanzisha masuala ya nyota.Nyie ndo wajinga wajinga anaowasema Mecky yan karne ya 21 unaamini sijui mambo ya nyota na upuuzi mwingine.
So pathetic.
😁😁😁Mjinga mwingine ni Manara ndiye aliyeanzisha masuala ya nyota.
Akikujibu nitag mkuuHivi alikuwa na maslahi gani kwenye hili jambo?
Tutajuaje kuwa mikia hawahusiki na tukio hili?!Kinachoumiza ni kuihusisha Simba huku ikiwa haihusiki
Wewe huwajui vizuri mikiaNyie ndo wajinga wajinga anaowasema Mecky yan karne ya 21 unaamini sijui mambo ya nyota na upuuzi mwingine.
So pathetic.
Hadi vibanda umiza huku na mabar wamekosa hela za viingilio vya mashabiki pamoja na kuuza vinywajiHili jambo lisipite bila wahusika kuwajibishwa.
Watu wameingia hasara sana ukipiga hesabu ni mabillion ya pesa yamepotea leo. Kuanzia kwenye vilabu, mashabiki, media, wafanyabiashara n.k.
Tumepoteza pesa nyingi sana leo kama nchi, wasipowajibisha hatutawaelewa wahusika.
TFF inawajibika kwa FIFA tu , huko serikalini labda iwe ni kwa masuala ya Viwanja vya kuchezea tuKaria mnamuonea bure. Mbona taarifa yao ipo wazi sana kuwa ni maelekezo kutoka Serikalini?!
Yeye ndie msimamizi wa kanuni za soka,alishindwa nini kuiambia serikali kanuni ziko vipi!alichukulia kitu rahisi tu,na Yanga wakahit back kwa kusimamia kanuni kama hao tff wanavyotumia kanuni kuwafungia viongozi wao
Kuahirisha kwa mechi ni mpango ulioihusisha SIMBA na TFF ili kutimiza mashariti ya ushirikina.
Simba walikuwa na hofu sana mwanzo ya kucheza siku yenye namba 8. Ulozi umehusika pakubwa hapa!
Niliona clip moja msemaji wa Simba anasema tukicheza nao tarehe 8, 18 na 28 hatutoki. Na tukicheza nao tarehe 2, 12 na 22 hawatoki. Halafu jana ilikuwa tarehe 8, kuna haja ya kujiuliza nani alivuruga mechi kweli na majibu yako hapo.
Inasikitisha sana kama uwekezaji mkubwa unaotajwa umewekezwa hadi wizarani, BMT na TFF.
Tutajuaje kuwa mikia hawahusiki na tukio hili?!
Wewe huwajui vizuri mikia
huu ndio uhujumu uchumi wenyewe. yeye waziri na Samia wanatakiwa wawe chini ya jeshi muda huu
😆😆😆huu ndio uhujumu uchumi wenyewe. yeye waziri na Samia wanatakiwa wawe chini ya jeshi muda huu