Atakayekujibu ajibu pia kwann wagombea wengine wote wakose ila yeye tu Karia ndio apate?Mwenye uelewa hiyo endorsement ndo IPO aje?
Hahahahahahaha 😂🤣😂🤣😂🤣😂Unakuta jitu linalalamikia kwamba huku TFF mambo hayaendi sawa inatakiwa Karia aruhusu uchaguzi uwe huru na wa kidemokrasia wakati huo huo hilo hilo jitu linakwambia 2025 tunatiki, mama Samia mitano tena... Sasa ina maana lenyewe linaona kule Ccm demokrasia na uchaguzi huru havihitajiki kabisa. Huu ni unafiki mkubwa....
Ndo maana majitu kama ya akina Profesa Msola na majinga menzake natamani yaendelee kuchezea kichapo cha mjinga mwenzao Karia mpaka akili iwakae sawa...
TUNAPOTAKA REFORMS NI KWA AJILI YA MAISHA KWA UJUMLA SIO KWA AJILI YA SIASA TU.
Nilivyofuatilia ni kuwa, endorsement ni uungwaji mkono kutoka mwenyekiti wa vyama vya mpira vya mikoa, ni kama vile wadhamini. Hao wajumbe ni wapiga kura wa uchaguzi wa TFTlFMwenye uelewa hiyo endorsement ndo IPO aje?
Ooh Kwa hiyo pochi nene muhimu hapo.Nilivyofuatilia ni kuwa, endorsement ni uungwaji mkono kutoka mwenyekiti wa vyama vya mpira vya mikoa, ni kama vile wadhamini. Hao wajumbe ni wapiga kura wa uchaguzi wa TFTlF
Sasa TFF walibadilisha sheria kwamba, mjumbe mmoja atamdhamini mgombea mmoja tu tofauti na huko nyuma mjumbe mmoja anawaunga mkono wagombea zaidi ya mmoja. Mgombea mmoja anatakiwa kudhaminiwa na wajumbe kuanzia watano.
Sasa wanavyolalamika wagombea, endorsement zilikuwa ni siri kwa muda mrefu, wamekuja kushtukizwa dakika za lala salama kina Ally Mayay wanarudisha fomu muda wa kutafuta endorsement umeisha sijui.
Kitu kingine, hii kanuni inamsaida yule aliyepo Madarakani anaweza kuzinunua endorsement zote kutoka kwa wajumbe mapema, wewe ukienda unaambia umechelewa mjumbr ameishamuunga mkono mgombea mwingine.
Huyu mzee serikali isipoingilia kati, hii taasisi itakuwa mali yakeNafasi ya Urais TFF imebakia 1 nayo ni ya Wallace Karia, wagombea wengine 6 wamekosa sifa kwenye mchujo na usaili wa awali
Tatizo kubwa lililowanyima sifa za kugombea Urais ni kukosa endorsement kila mgombea alitakiwa awe na angalau endorsement 5, ambapo mgombea Wallace Karia amevuna endorsement 46 kati ya 47
Nafasi za ujumbe TFF zimepata wagombea 10 kati ya 17 waliotuma maombi ya kugombea
Wagombea walioenguliwa wana siku 6 za kukata rufaa kama hawajaridhika na maamuzi
Uchaguzi unatarajiwa kufanyika Tanga August 16, 2025View attachment 3393653