Hizo kanuni zilikuwa siri ya Karia na hao Wajumbe au ziko wazi siku zote?Nilivyofuatilia ni kuwa, endorsement ni uungwaji mkono kutoka mwenyekiti wa vyama vya mpira vya mikoa, ni kama vile wadhamini. Hao wajumbe ni wapiga kura wa uchaguzi wa TFTlF
Sasa TFF walibadilisha sheria kwamba, mjumbe mmoja atamdhamini mgombea mmoja tu tofauti na huko nyuma mjumbe mmoja anawaunga mkono wagombea zaidi ya mmoja. Mgombea mmoja anatakiwa kudhaminiwa na wajumbe kuanzia watano.
Sasa wanavyolalamika wagombea, endorsement zilikuwa ni siri kwa muda mrefu, wamekuja kushtukizwa dakika za lala salama kina Ally Mayay wanarudisha fomu muda wa kutafuta endorsement umeisha sijui.
Kitu kingine, hii kanuni inamsaida yule aliyepo Madarakani anaweza kuzinunua endorsement zote kutoka kwa wajumbe mapema, wewe ukienda unaambia umechelewa mjumbr ameishamuunga mkono mgombea mwingine.
Serikali yenyewe inafanya ujinga huo huo ambayo unataka serikali iingilieHuyu mzee serikali isipoingilia kati, hii taasisi itakuwa mali yake
Kaweka kamfumo kanakotunga sheria na taratibu zinazowafanya wakae pale milele🤣🙌
Safi kabisaNafasi ya Urais TFF imebakia 1 nayo ni ya Wallace Karia, wagombea wengine 6 wamekosa sifa kwenye mchujo na usaili wa awali
Tatizo kubwa lililowanyima sifa za kugombea Urais ni kukosa endorsement kila mgombea alitakiwa awe na angalau endorsement 5, ambapo mgombea Wallace Karia amevuna endorsement 46 kati ya 47
Nafasi za ujumbe TFF zimepata wagombea 10 kati ya 17 waliotuma maombi ya kugombea
Wagombea walioenguliwa wana siku 6 za kukata rufaa kama hawajaridhika na maamuzi
Uchaguzi unatarajiwa kufanyika Tanga August 16, 2025View attachment 3393653
Pwagu akaamue vita ya Pwaguzi.Serikali yenyewe inafanya ujinga huo huo ambayo unataka serikali iingilie
Kwakweli sijui, kina Mayay ndio wanajua.Hizo kanuni zilikuwa siri ya Karia na hao Wajumbe au ziko wazi siku zote?
Ni hivi hizo kanuni ziko wazi na zinajulikana na wagombea wengine pia. Tatizo linaanzia kwenye kuvunja hiyo kanuni. Iko hivi pale uchaguzi unapotangazwa na form zikishachukuliwa ndio hapo unaanza kuomba endorsement kunakotakiwa.Hizo kanuni zilikuwa siri ya Karia na hao Wajumbe au ziko wazi siku zote?
Karia ni mhuniNi hivi hizo kanuni ziko wazi na zinajulikana na wagombea wengine pia. Tatizo linaanzia kwenye kuvunja hiyo kanuni. Iko hivi pale uchaguzi unapotangazwa na form zikishachukuliwa ndio hapo unaanza kuomba endorsement kunakotakiwa.
Sasa kanuni imevunjwa wapi?. Huyu Kelia amekusanya endorsement kabla ya muda maalum wa kukusanya endorsement. Form zilichukuliwa kuanzia tarehe 16/06/2025,kikanuni hapo ndio ilitakiwa kuanza kuomba endorsement kwa wajumbe. Lakini kwa makusudi kabisa akiwa na lengo la kubakia peke yake keria alivunja kanuni kwa kukusanya endorsement 46 zote kasoro moja tu ya YANGA,kabla ya muda maalum wa kukusanya endorsement.
Pili ilitakiwa akusanye zisizozidi 5. Lakini yeye kwa makusudi kabisa huku akijua kufanya hivyo ni kuwanyima haki wengine alikusanya endorsement zote kabla ya muda. Na ksbb yuko kwenye huo uongozi kwa sasa ilikuwa ni rahisi tu kuwalazimisha au hata kuwatisha wajumbe wanaohusika wamsainie hata kabla ya muda.
Endorsements mtu mmoja anakomba zote tena kabla ya kutangaza uchaguzi, huu si uhuni wa waziwazi!Kwakweli sijui, kina Mayay ndio wanajua.
Kama walizifahamu mapema basi wamechemka. Mambo mazuri yanahitaji kupambaniwa!
Lakini tujiulize, kwa mfano, unajua unahitaji wadhamini, je utasubiri muda wa uchaguzi au utaanza kampeni mapema? ukianza kampeni mapema ukibainika unatolewa kwenye mchakato.
Ukisubiri muda wa endorsement unakuta ni muda finyu sana kana kwamba mpaka uzunguke mikoani unakuta muda haukutoshi. Pia, muda huo ukipiga simu ya mjumbe hapokei au anapokea anakwambia tayari nimeishamdhamini mgombea mwingine.
Sehemu yoyote yenye ridhiki kwa Afrika hasa kusini mwa jangwa la sahara ina utata sana. Kumbe reforms ni kila sehemu zinahitajika.
Hiyo ndio bongo yakina ChoiceVariableUnakuta jitu linalalamikia kwamba huku TFF mambo hayaendi sawa inatakiwa Karia aruhusu uchaguzi uwe huru na wa kidemokrasia wakati huo huo hilo hilo jitu linakwambia 2025 tunatiki, mama Samia mitano tena... Sasa ina maana lenyewe linaona kule Ccm demokrasia na uchaguzi huru havihitajiki kabisa. Huu ni unafiki mkubwa....
Ndo maana majitu kama ya akina Profesa Msola na majinga menzake natamani yaendelee kuchezea kichapo cha mjinga mwenzao Karia mpaka akili iwakae sawa...
TUNAPOTAKA REFORMS NI KWA AJILI YA MAISHA KWA UJUMLA SIO KWA AJILI YA SIASA TU.
No reforms no election.Endorsements mtu mmoja anakomba zote tena kabla ya kutangaza uchaguzi, huu si uhuni wa waziwazi!
Msinichanganye na mipira yenu ya Yanga na SimbaHiyo ndio bongo yakina ChoiceVariable
No reforms no election TFFMsinichanganye na mipira yenu ya Yanga na Simba
Sehemu yoyote yenye ridhiki kwa Afrika hasa kusini mwa jangwa la sahara ina utata sana. Kumbe reforms ni kila sehemu zinahitajika.Kwakweli sijui, kina Mayay ndio wanajua.
Kama walizifahamu mapema basi wamechemka. Mambo mazuri yanahitaji kupambaniwa!
Lakini tujiulize, kwa mfano, unajua unahitaji wadhamini, je utasubiri muda wa uchaguzi au utaanza kampeni mapema? ukianza kampeni mapema ukibainika unatolewa kwenye mchakato.
Ukisubiri muda wa endorsement unakuta ni muda finyu sana kana kwamba mpaka uzunguke mikoani unakuta muda haukutoshi. Pia, muda huo ukipiga simu ya mjumbe hapokei au anapokea anakwambia tayari nimeishamdhamini mgombea mwingine.
Sehemu yoyote yenye ridhiki kwa Afrika hasa kusini mwa jangwa la sahara ina utata sana. Kumbe reforms ni kila sehemu zinahitajika.
Kwani kuna ukomo wa endorsement waliyojiwekea TFF au huko BMT kufika hatua kusema ana makosa ya kimaadili kutosha kuenguliwa na Baraza?Walec Karia ata kwama kule Baraza la michezo kwa kukiuka kanuni.
Ajabu unakuta nae Choice Variable nae analalamika kwamba Karia anafanya vibaya... Ina maana anashindwa kurelate kwamba anachokifanya Karia kwenye football ndo hicho hicho anachokifanya Samia kwenye siasa... Aisee wabongo wengi akili zao sijui kwa nini zinashindwa kuchakata mambo madogo kama haya..Hiyo ndio bongo yakina ChoiceVariable