NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Kama unambeba mtu anaejiweza na yeye anajishikilia mpaka kuleta sifa kwenye nchi hapo akuna shida.Ili mbeleko iendelee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unambeba mtu anaejiweza na yeye anajishikilia mpaka kuleta sifa kwenye nchi hapo akuna shida.Ili mbeleko iendelee
Kafanya kitu gani kama Rais wa TFF?Abas Tarimba na Mayai watu pekee wenye msuli wa kumshinda Karia na hao wengine.
Ila mimi binafsi natamani Karia ashinde.
U r wrong bro,hao wote hamna wa kumtoa karia tff,namuonea huruma sana mzee wangu tarimba atakavyoaibika
Abbas Tarimba ana kipi cha kumsumbua Karia, kwanza hana vigezo kwa kuwa mkurugenzi wa BettingAbas Tarimba na Mayai watu pekee wenye msuli wa kumshinda Karia na hao wengine.
Ila mimi binafsi natamani Karia ashinde.
Nimekuelewa mkuuKama unambeba mtu anaejiweza na yeye anajishikilia mpaka kuleta sifa kwenye nchi hapo akuna shida.