Karia anatakiwa kukubali tu, siku zote kuna wajinga na kazi yenu ni kufanya mambo ya kijinga ambayo hayajawekwa kisheria.Tunaenda kuwapokea kama kawaida na cha kutufanya hakipo ilimradi hatuvunji sheria
sawaKaria anatakiwa kukubali tu, siku zote kuna wajinga na kazi yenu ni kufanya mambo ya kijinga ambayo hayajawekwa kisheria.
Utopolo kwenye ubora wenu.
Wakati mnyama yuko busy kuitafuta CAF Super League ije Tanzania, wajinga mnasubiri wageni watakaokuja kucheza na Simba SC muwapokee na kuwashangilia.
Lugha ngumu hiyo uliyoitumia wakikuelewa nistue [emoji3][emoji3][emoji3]Anataka Yanga wasiwe na kazi ya kufanya?[emoji1787]
Mwaka gani huo?Lakini hii tabia ya kuwapapatikia wageni mlianza Simba wakati huo timu yenu ikiwa dhaifu.
Kwani Africa hawajui? Hizo timu mlizozipokea ni za mtaa wa Twiga? Aibu naona mimiAmekwenda kuitangazia Afrika na Nje ya Afrika kuwa Tanzania kuna tabia ya timu kupokea wageni.
Ushamba mzigo mkuu, Sasa tuone wakienda kwenye nchi zao Kama watapokelewa na wapinzani wa timu wanayocheza nayoIli linawahusu utopolo sisi Simba tushakuwa wakubwa hatuwezi kufanya ujinga kama huo
Kama mambo haya yalianza kwa Simba, watu makini inakuwaje waige?Lakini hii tabia ya kuwapapatikia wageni mlianza Simba wakati huo timu yenu ikiwa dhaifu.
Mumeguswa penyewe lazima mruke kimanga
Ile mechi ya Yanga dhdi ya Mazembe ambayo Manji alilipia viingilio vya mashabiki ndio ilikuwa chanzo cha Yanga kuanza kuwapokea wageni. Hata kabla ya hiyo mechi Simba walikuwa tayari wameanza tabia ya kuwashangilia wageni. Kama unakumbuka vizuri mpaka Yanga waliingia kwenye mgogoro na TFF
Ndio maana wakaitwa kimba fcKaria anatakiwa kukubali tu, siku zote kuna wajinga na kazi yenu ni kufanya mambo ya kijinga ambayo hayajawekwa kisheria.
Utopolo kwenye ubora wenu.
Wakati mnyama yuko busy kuitafuta CAF Super League ije Tanzania, wajinga mnasubiri wageni watakaokuja kucheza na Simba SC muwapokee na kuwashangilia.
Kama mambo haya yalianza kwa Simba, watu makini inakuwaje waige?
Ndo maana tunasema kila siku hata hizi propaganda za Haji zilianzia Simba, watu makini wangejitenga naye sasa wewe unakumbatia, sasa mjinga nani hapo Mkuu?
huyu jamaa hana akili, kwa nature ya mshabiki wa soka la Tanzania haya maneno yake yanaenda kuzua mjadala na kusahau maneno ya msingi katika huo mkutano.. anapenda ligi ya mitandao na vijembe hafai kuwa kiongozi wa soka"Nimeshaongea sana na hivi vilabu kuwa vifanye vizuri michuano ya Kimataifa ya CAF".
"Nasisitiza wazingatie taaluma zaidi, waachane na mambo ya kijingajinga, mambo ya ukandokando wahakikishe wanakuwa serious kwenye mashindano hayo, lakini pia ni vizuri zile tabia za kupokea wageni zife". Rais wa TFF Wallace Karia.View attachment 2320331