denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Karia anatakiwa kukubali tu, siku zote kuna wajinga na kazi yenu ni kufanya mambo ya kijinga ambayo hayajawekwa kisheria.Tunaenda kuwapokea kama kawaida na cha kutufanya hakipo ilimradi hatuvunji sheria
Utopolo kwenye ubora wenu.
Wakati mnyama yuko busy kuitafuta CAF Super League ije Tanzania, wajinga mnasubiri wageni watakaokuja kucheza na Simba SC muwapokee na kuwashangilia.