Wallace Karia: Ni vizuri zile tabia za kupokea wageni(michezo ya Kimataifa) zife

Wallace Karia: Ni vizuri zile tabia za kupokea wageni(michezo ya Kimataifa) zife

Tunaenda kuwapokea kama kawaida na cha kutufanya hakipo ilimradi hatuvunji sheria
Karia anatakiwa kukubali tu, siku zote kuna wajinga na kazi yenu ni kufanya mambo ya kijinga ambayo hayajawekwa kisheria.

Utopolo kwenye ubora wenu.

Wakati mnyama yuko busy kuitafuta CAF Super League ije Tanzania, wajinga mnasubiri wageni watakaokuja kucheza na Simba SC muwapokee na kuwashangilia.
 
sawa
 
Lakini hii tabia ya kuwapapatikia wageni mlianza Simba wakati huo timu yenu ikiwa dhaifu.
Kama mambo haya yalianza kwa Simba, watu makini inakuwaje waige?

Ndo maana tunasema kila siku hata hizi propaganda za Haji zilianzia Simba, watu makini wangejitenga naye sasa wewe unakumbatia, sasa mjinga nani hapo Mkuu?
 
Mwaka gani huo?

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
Ile mechi ya Yanga dhdi ya Mazembe ambayo Manji alilipia viingilio vya mashabiki ndio ilikuwa chanzo cha Yanga kuanza kuwapokea wageni. Hata kabla ya hiyo mechi Simba walikuwa tayari wameanza tabia ya kuwashangilia wageni. Kama unakumbuka vizuri mpaka Yanga waliingia kwenye mgogoro na TFF
 
Karia anatakiwa kukubali tu, siku zote kuna wajinga na kazi yenu ni kufanya mambo ya kijinga ambayo hayajawekwa kisheria.

Utopolo kwenye ubora wenu.

Wakati mnyama yuko busy kuitafuta CAF Super League ije Tanzania, wajinga mnasubiri wageni watakaokuja kucheza na Simba SC muwapokee na kuwashangilia.
Ndio maana wakaitwa kimba fc
 
Wote wajinga, kwetu sisi ambao tumeishi nchi tofauti hapa Africa Yanga na Simba wakija katika nchi hizo huwa tunawashangilia. Nikikuwa najaribu kukumbusha tu kwamba hili suala halijazuka tu Yanga kuanza kuwapokea wageni, ilikuwa kulipa kisasi. Nao Simba walikuwa wanalipa kisasi kipindi kile kuwashangilia wageni wakati Jerry Muro anawakera kuwaita wa matopeni/mchangani.
Kama mambo haya yalianza kwa Simba, watu makini inakuwaje waige?

Ndo maana tunasema kila siku hata hizi propaganda za Haji zilianzia Simba, watu makini wangejitenga naye sasa wewe unakumbatia, sasa mjinga nani hapo Mkuu?
 
"Nimeshaongea sana na hivi vilabu kuwa vifanye vizuri michuano ya Kimataifa ya CAF".

"Nasisitiza wazingatie taaluma zaidi, waachane na mambo ya kijingajinga, mambo ya ukandokando wahakikishe wanakuwa serious kwenye mashindano hayo, lakini pia ni vizuri zile tabia za kupokea wageni zife". Rais wa TFF Wallace Karia.View attachment 2320331
huyu jamaa hana akili, kwa nature ya mshabiki wa soka la Tanzania haya maneno yake yanaenda kuzua mjadala na kusahau maneno ya msingi katika huo mkutano.. anapenda ligi ya mitandao na vijembe hafai kuwa kiongozi wa soka
 
Back
Top Bottom