Huyo msomali ni mvivu wa vita , wenzake wako Mogadishu wanakiwasha yeye yuko bongo analeta taharuki..akamatwe haraka sana
Huyu mzee kuwa Raisi pale TFF anajionaga kama Raisi wa dunia yan🤣View attachment 3278520
Hizo Media nyingine unazosema zimechafuka ndio hizo hizo huzitumia kuhamasisha football ya Nchi hii,na ndizo zilizokutambulisha ww kwa jamii.
Unachofanya ni Ubaguzi wa Wazi Wazi kama kiongozi Mkuu wa football nchini na kwa hili ushapoteza 'UHALALI'wa kuendelea kuongoza TFF.
Sioni tena kama unastahili kubaki Shirikisho,
Kiburi na Majivuno yako yamevuka mpaka aisee,Ulevi wa Madaraka umekuvaa kisawa sawa.
Kiukweli Jamaa He is Too drunk in power to be Sober 🥺🥺
Analeta fitna kubwa baina ya Media nyingine na za kutoka Mkoani Tanga.
Hapo ni kama umeenda kushtaki hizo media nyingine na hicho unachofanya tulifanya utotoni.
Unashtaki kisha unaambiwa tema mate tumchape 😝
Bora ungenyamaza tu kipindi hiki kuliko kwenda kutafuta Sympathy na kuwatumia Watu wakusifu hadi kwenye Majukwaa ya Ftari.
Haikusaidii hata kidogo Coz hata waliokuwa wakikuunga mkono washakuona sura yako halisi !!
Kwa Sasa Tupishe tu na Makamu wako akaimu huo Urais hadi Uchaguzi Mwakani.
#KariaMustGo Wananchi hii tutumie kila mahali kuanzia sasa
Source Haji manara
Kwahiyo avumiliwe au?Leo nimemsikia Juma Ayo na Mkami wakisema Karia ana shida kwenye kujieleza, hachungi ulimi. Huu ni ushahidi.
Ofcoz anashida sana kwenye kuongea hana art of speaking ..Leo nimemsikia Juma Ayo na Mkami wakisema Karia ana shida kwenye kujieleza, hachungi ulimi. Huu ni ushahidi.
Haji ana matatizo na msongo kwa watu waliomzidi madaraka na kipato kifupi nakumbuka kuna kipindi alitaka kushindana na hersi mara akamvamia mo dewji ..ila hamuwezi karia kwa lolote kwa umjini mpaka serikalini.View attachment 3278520
Hizo Media nyingine unazosema zimechafuka ndio hizo hizo huzitumia kuhamasisha football ya Nchi hii,na ndizo zilizokutambulisha ww kwa jamii.
Unachofanya ni Ubaguzi wa Wazi Wazi kama kiongozi Mkuu wa football nchini na kwa hili ushapoteza 'UHALALI'wa kuendelea kuongoza TFF.
Sioni tena kama unastahili kubaki Shirikisho,
Kiburi na Majivuno yako yamevuka mpaka aisee,Ulevi wa Madaraka umekuvaa kisawa sawa.
Kiukweli Jamaa He is Too drunk in power to be Sober 🥺🥺
Analeta fitna kubwa baina ya Media nyingine na za kutoka Mkoani Tanga.
Hapo ni kama umeenda kushtaki hizo media nyingine na hicho unachofanya tulifanya utotoni.
Unashtaki kisha unaambiwa tema mate tumchape 😝
Bora ungenyamaza tu kipindi hiki kuliko kwenda kutafuta Sympathy na kuwatumia Watu wakusifu hadi kwenye Majukwaa ya Ftari.
Haikusaidii hata kidogo Coz hata waliokuwa wakikuunga mkono washakuona sura yako halisi !!
Kwa Sasa Tupishe tu na Makamu wako akaimu huo Urais hadi Uchaguzi Mwakani.
#KariaMustGo Wananchi hii tutumie kila mahali kuanzia sasa
Source Haji manara
Usijiweke kwenye angle ya mashindano angalia hiyo clip ilikuwa sahihi kwa karia kutoa kauli hiyo?!Haji ana matatizo na msongo kwa watu waliomzidi madaraka na kipato kifupi nakumbuka kuna kipindi alitaka kushindana na hersi mara akamvamia mo dewji ..ila hamuwezi karia kwa lolote kwa umjini mpaka serikalini.
Dhambi ya Ubaguzi Siyo nzuri. Kama hauna HOJA afadhali ukakaa kimya mkuuHuyo msomali ni mvivu wa vita , wenzake wako Mogadishu wanakiwasha yeye yuko bongo analeta taharuki..akamatwe haraka sana
Punguza povuHizo Media nyingine unazosema zimechafuka ndio hizo hizo huzitumia kuhamasisha football ya Nchi hii,na ndizo zilizokutambulisha ww kwa jamii.
Unachofanya ni Ubaguzi wa Wazi Wazi kama kiongozi Mkuu wa football nchini na kwa hili ushapoteza 'UHALALI'wa kuendelea kuongoza TFF.
Sioni tena kama unastahili kubaki Shirikisho,
Kiburi na Majivuno yako yamevuka mpaka aisee,Ulevi wa Madaraka umekuvaa kisawa sawa.
Usipende kujaji vitu kwa vipande vya picha za Manara sikiliza angalia video nzima zeru zeru hatofanikiwa!Usijiweke kwenye angle ya mashindano angalia hiyo clip ilikuwa sahihi kwa karia kutoa kauli hiyo?!