Wallace Karia: "Tutazungumza na media za Tanga, nyingine zina mambo yao"

Karia aliwekwa na magufuri kibabe
 
Wapuuzi ndiyo watasimama na mwehu Manara.
 
Yanga ndio team iliyonufaika na uongozi wa karia cha ajabu wao ndio wanaongoza kwa kulalamika sio kwenye league au kwenye derby.
 
Leo nimemsikia Juma Ayo na Mkami wakisema Karia ana shida kwenye kujieleza, hachungi ulimi. Huu ni ushahidi.
Na mara nyingi watu wa aina yake huwa wanakuwa na disorder fulani kwenye miili yao bila shaka. Kwa sababu haiwezekani kila unapo ongea lazima maneno yako yageuke na kuwa matapishi.
 
Wallace Karia kachoka kuongoza taasisi, kwa kulinda heshima yake ashauriwe aachie ngazi

Wallace Karia things are going out of his hand
 
#KariaMustGo

..Aje Manara!!
 
Una uhakika ukipewa nafasi ya Karia utaimudu?
Kiongozi wa taasisi haitakiwi uwe mropokaji unaishusha hadhi mamlaka yako inatakiwa utatue migogoro kwa Wakati na kwa hekima yaani kwakutumia kanuni zilizopo

Public figures have to keep their words
Viongozi wa kitaifa inatakiwa watunze kauli zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…