Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Wameparanganyika , Amang'ana gasarikile !
Matukio/kauli zilizonidhihirishia kuwa JPM anaumwa:
1. Kuna mwana usalama mmoja alichomekwa kuuliza/kutoa duku duku ile kujichanganya akadai alimuota JPM... JPM akamuuliza kama alimuota wakiwa kitandani?
2. Kuna siku akamuozesha Mama yake mzazi kwa mzee alomtunuku jogoo...
3. Kuna siku alimuuliza mama mmoja anataka apanuliwe wapi...
4. Kuna siku akawaonya waandishi kuwa hawana Uhuru tu that extent...
5. Kuna siku akaamuru mtu anayehoji hoji mambo yaani msaliti afanywe kama wanavyofanya vitani...
6. Kuna siku aliahidi kuwapiga dada, Shangazi na mama zetu...
7.
8.
kura ni siri ya mtu,hatujui utaamka umekula mharage ya wapi.
Hii sasa kali?Matukio/kauli zilizonidhihirishia kuwa JPM anaumwa:
1. Kuna mwana usalama mmoja alichomekwa kuuliza/kutoa duku duku ile kujichanganya akadai alimuota JPM... JPM akamuuliza kama alimuota wakiwa kitandani?
2. Kuna siku akamuozesha Mama yake mzazi kwa mzee alomtunuku jogoo...
3. Kuna siku alimuuliza mama mmoja anataka apanuliwe wapi...
4. Kuna siku akawaonya waandishi kuwa hawana Uhuru tu that extent...
5. Kuna siku akaamuru mtu anayehoji hoji mambo yaani msaliti afanywe kama wanavyofanya vitani...
6. Kuna siku aliahidi kuwapiga dada, Shangazi na mama zetu...
7.
8.
Tangu ammimbalize shemeji yake toka nitoke na mke wake nimemdharau sana. Halafu kashindwa kumtetea kwenye issue ya vyeti fakeHafai hata kuongoza familia
Musiba chizi maarifa. Anaharibu muda wowote, anamwigopa jiwe tu kwasasa ila kitambo alikuwa anamuogopa na Makonda