Uchaguzi 2020 Wallah siwezi kumpigia kura mtu mwenye kauli kama hizi, labda nichanganyikiwe

Uchaguzi 2020 Wallah siwezi kumpigia kura mtu mwenye kauli kama hizi, labda nichanganyikiwe

Apa nasikiliza kibao cha konde boy Cha Magufuli (Magufuli cheza nikuone) alo!! msitengeneze video zenu za kinafiki
 
Matukio/kauli zilizonidhihirishia kuwa JPM anaumwa:
1. Kuna mwana usalama mmoja alichomekwa kuuliza/kutoa duku duku ile kujichanganya akadai alimuota JPM... JPM akamuuliza kama alimuota wakiwa kitandani?
2. Kuna siku akamuozesha Mama yake mzazi kwa mzee alomtunuku jogoo...
3. Kuna siku alimuuliza mama mmoja anataka apanuliwe wapi...
4. Kuna siku akawaonya waandishi kuwa hawana Uhuru tu that extent...
5. Kuna siku akaamuru mtu anayehoji hoji mambo yaani msaliti afanywe kama wanavyofanya vitani...
6. Kuna siku aliahidi kuwapiga dada, Shangazi na mama zetu...
7.
8.
Ile kauli aliyomuuliza mwanaume mwenzake eti amemuota wakiwa wote kitandani? Ni kauli chafu kutolewa na Rais wa nchi hata kama ni utani! Nilipoisikia nilikasirika sana!
 
Binafsi kura yangu ni kitu muhimu sana. Kabla sijampa mtu huwa natafakari kwa kina na siwezi kupiga kura kwa mihemko. Siwezi kumpigia kura mgombea mwenye kauli kama hii.

View attachment 1580494
Kwa haya yanayojitokeza katika kampeni zinazoendelea... na yatakayotokea kura zitakapopigwa...
Watu watajifunza kitu...
Ukiona una wasaidizi wasiokusaidia WALA KUKUSHAURI VEMA BALI KUKUSIFIA JUA UMEKWISHA...
 
Mtandao hau danganyi mzee kauli zake zina mshambulia mwenyewe ana tamani kujikana
Hasira abakie nazo,awapatie kibano Bashiru,Polepole,Kabudi,Mangula,Majaliwa,Jaffo&co.Kuna mmoja wao lazima jumba bovu limkandamize siku si nyingi.Tunataka kila hoja ijibiwe kwa ufasaha,onyesheni documents hadi za Twiga Company.
 
Katika baadhi kazi atakazokumbukwa katika kipindi chake cha miaka mitano ni KUTEU na KUTUMBUA. Sasa na yeye wakati wake wa KUTUMBULIWA umewadia. Mwananchi tumia haki ya kikatiba kutumbua huyu mkatili-in-chief!🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Back
Top Bottom