Uchaguzi 2020 Wallah siwezi kumpigia kura mtu mwenye kauli kama hizi, labda nichanganyikiwe

Apa nasikiliza kibao cha konde boy Cha Magufuli (Magufuli cheza nikuone) alo!! msitengeneze video zenu za kinafiki
 
Ile kauli aliyomuuliza mwanaume mwenzake eti amemuota wakiwa wote kitandani? Ni kauli chafu kutolewa na Rais wa nchi hata kama ni utani! Nilipoisikia nilikasirika sana!
 
Binafsi kura yangu ni kitu muhimu sana. Kabla sijampa mtu huwa natafakari kwa kina na siwezi kupiga kura kwa mihemko. Siwezi kumpigia kura mgombea mwenye kauli kama hii.

View attachment 1580494
Kwa haya yanayojitokeza katika kampeni zinazoendelea... na yatakayotokea kura zitakapopigwa...
Watu watajifunza kitu...
Ukiona una wasaidizi wasiokusaidia WALA KUKUSHAURI VEMA BALI KUKUSIFIA JUA UMEKWISHA...
 
Mtandao hau danganyi mzee kauli zake zina mshambulia mwenyewe ana tamani kujikana
Hasira abakie nazo,awapatie kibano Bashiru,Polepole,Kabudi,Mangula,Majaliwa,Jaffo&co.Kuna mmoja wao lazima jumba bovu limkandamize siku si nyingi.Tunataka kila hoja ijibiwe kwa ufasaha,onyesheni documents hadi za Twiga Company.
 
Ile kauli aliyomuuliza mwanaume mwenzake eti amemuota wakiwa wote kitandani? Ni kauli chafu kutolewa na Rais wa nchi hata kama ni utani! Nilipoisikia nilikasirika sana!
Aisee hapana,,aliongea hivi??.duuh kazi tunayo
 
Katika baadhi kazi atakazokumbukwa katika kipindi chake cha miaka mitano ni KUTEU na KUTUMBUA. Sasa na yeye wakati wake wa KUTUMBULIWA umewadia. Mwananchi tumia haki ya kikatiba kutumbua huyu mkatili-in-chief!πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…