Uchaguzi 2020 Wallah siwezi kumpigia kura mtu mwenye kauli kama hizi, labda nichanganyikiwe

Magufuli anashinda asubuhiiiii
Kwa kuiba sawa...CCM wataiba wee mwishowe wataanza kuibiana. Kwa miaka mitano wanajiimarisha kwa wizi na yawezekana wamefuzu kabisa na kupata vyeti lakini wasisahau za mwizi ni arobaini!
 
Watanzania tupo zaid ya million 50
Let's say Wapga kura million 49
Ukitoa kura 2000 za jf
Magu anapata kura 48,999998

Magufuli anashinda asubuhiiiii
Mliota naye pamoja kitandani atashinda??!
 
Tutampa jpm wewe kaaaa na kelele zakooo sawaaa
 
Nyuma yako ikipata tatizo huwezi litatua kwa vile sio wewe uliolileta ila likitokea kwa jirani unakuwa wa kwanza kwenda kulitatua maajabu haya....only in TZ.
 
Binafsi kura yangu ni kitu muhimu sana. Kabla sijampa mtu huwa natafakari kwa kina na siwezi kupiga kura kwa mihemko. Siwezi kumpigia kura mgombea mwenye kauli kama hii.

View attachment 1580494
Mara Baada ya kuchaguliwa kua Rais
Mama yake aliwaambia waandishi wa Habari waliomtembelea chato
'' Hivi mmemchagua Joni Yee mtakoma''
Hio ni kauli ya mama yake mzazi
Mwaka Jana wakati anapita igunga mwananchi mwanaume alimwambia
' 'Rais mambo magumu tafadhali achia pesa kidogo
Akajibiwa kwa kisukuma kama unataka hela nenda kaolewe
Tafakari mwenyewe huyu Ndio Rais unaenda kummpa kura yako?
 
Ile kauli aliyomuuliza mwanaume mwenzake eti amemuota wakiwa wote kitandani? Ni kauli chafu kutolewa na Rais wa nchi hata kama ni utani! Nilipoisikia nilikasirika sana!
Clip hii inapatikana wapi?
 
Huyu ni Rais 'muhuni' kuliko hata yule Rais wa manzese.
 
Watanzania tupo zaid ya million 50
Let's say Wapga kura million 49
Ukitoa kura 2000 za jf
Magu anapata kura 48,999998

Magufuli anashinda asubuhiiiii
Takwimu hizo umezipatia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…