Uchaguzi 2020 Wallah siwezi kumpigia kura mtu mwenye kauli kama hizi, labda nichanganyikiwe

Hafai kwa ustawi wa Taifa letu.

Anataka kutagawa kama Wanyarwanda hapa.

Analeta ubaguzi , eti msipomchagua huyu sileti maji jimbo hili ,

Tusikubali Watanzania Kiongozi anayetugawa kwa misingi yoyote ile,

Iwe tofauti zetu kiitikadi huyo hatufai.

Tusimchague yeye wala chama chake.
 
"Mimi mtu akinishauri ndio ameharibu kabisa maana sitofanya kile anachonishauri".

Rais.John Magufuli

"Hata kama wagombea ubunge wa upinzani ni wazuri msiwape kura".

Rais magufuli 2020.

Huyu mtu hatufai watanzania.
Huyu katokea pori gani? Ni binadamu wa kawaida? Usiniambie eti ni Rais.
 
Aisee, kumbe jamaa chizi. Alipitaje 2015? Watanzania tuna Jambo Letu 28/10/2020.
 
Ile kauli aliyomuuliza mwanaume mwenzake eti amemuota wakiwa wote kitandani? Ni kauli chafu kutolewa na Rais wa nchi hata kama ni utani! Nilipoisikia nilikasirika sana!
Hahaha, labda Bashite akupe ufafanuzi. Huenda anaielewa!
 
Kwa haya yanayojitokeza katika kampeni zinazoendelea... na yatakayotokea kura zitakapopigwa...
Watu watajifunza kitu...
Ukiona una wasaidizi wasiokusaidia WALA KUKUSHAURI VEMA BALI KUKUSIFIA JUA UMEKWISHA...
Kwa sasa hana washauri. Mshauri mkuu kazikwa Lupaso.
 
Hasira abakie nazo,awapatie kibano Bashiru,Polepole,Kabudi,Mangula,Majaliwa,Jaffo&co.Kuna mmoja wao lazima jumba bovu limkandamize siku si nyingi.Tunataka kila hoja ijibiwe kwa ufasaha,onyesheni documents hadi za Twiga Company.
Kwenye list muongeze Ndugai.
 
Kwa kuiba sawa...CCM wataiba wee mwishowe wataanza kuibiana. Kwa miaka mitano wanajiimarisha kwa wizi na yawezekana wamefuzu kabisa na kupata vyeti lakini wasisahau za mwizi ni arobaini!
Arobaini zimeshafika mkuu. Kwa kauli ya mwenyekiti wao "wanaota wamelala kitanda kimoja wanaume wawili". JAMBO LETU 28/10/2020 si la kitoto.
 
Nazani ni vyema ukanushe! Baba jesca hakusema hayo??

shida inakuja umeelewaje.

kamuuliza mama,unataka kupanuliwa??mama akajibu ndioo.wewe unasema mwenye shida ni magu[emoji28][emoji28][emoji28]

shida iko kwako mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…