Walokole kweli hii mistari huwa mnaisoma....au kudonoa donoa bibilia

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
17,576
Reaction score
20,183
ikiwa ni jumapili tulivu kama calender ya KKKT inavyoelekeza hili neno la leo linanifikirisha sana na nimelijua zamani sana sema sasa labda uwenda tafsiri yangu ni tofauti lakini hamna kitu sikipendi kama kuomba kwa makelele napenda utaratibu na ukimya kwani najua Mungu atanisikia tu Mathayo mtakatifu anzia pale mlango wa 6 kuanzia mstari wa kwanza
 
ikiwa ni jumapili tulivu kama calender ya KKKT inavyoelekeza
hili neno la leo linanifikirisha sana na nimelijua zamani sana
sema sasa labda uwenda tafsiri yangu ni tofauti
lakini hamna kitu sikipendi kama kuomba kwa makelele
napenda utaratibu na ukimya kwani najua Mungu atanisikia tu
Mathayo mtakatifu
anzia pale mlango wa 6
kuanzia mstari wa kwanza
Kwa Nini hutaki kuja Catholic?
20260419_163757.jpg
 
ikiwa ni jumapili tulivu kama calender ya KKKT inavyoelekeza
hili neno la leo linanifikirisha sana na nimelijua zamani sana
sema sasa labda uwenda tafsiri yangu ni tofauti
lakini hamna kitu sikipendi kama kuomba kwa makelele
napenda utaratibu na ukimya kwani najua Mungu atanisikia tu
Mathayo mtakatifu
anzia pale mlango wa 6
kuanzia mstari wa kwanza
Ukiomba kimyakimya ni rahisi kupoteza concentration na kuruhusu fikra zako kuhama.

Hivyo ili uombe kwa kumaanisha na kwa mzigo, ni vema ukaomba kwa sauti .

Pia huwezi kemea pepo kimyakimya likatoka au kuamru kitu kimyakimya kikatokea.

Mwisho wa maombi huwa tunapima matokeo, je aliyeomba kwa sauti alipata alichoomba?
 
Hivyo ili uombe kwa kumaanisha na kwa mzigo, ni vema ukaomba kwa sauti na kimyakimya endapo unaombea mambo ya faragha.
How iwe kimya kimya kwenye mambo ya faragha afu hapo hapo iwe kelele kwenye mambo mengine?
 
  • Thanks
Reactions: K11
Ukiomba kimyakimya ni rahisi kupoteza concentration na kuruhusu fikra zako kuhama.

Hivyo ili uombe kwa kumaanisha na kwa mzigo, ni vema ukaomba kwa sauti na kimyakimya endapo unaombea mambo ya faragha.
mnaposali, msiwe kama wanafiki; maana wao wanapenda kusimama na kusali katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.

nashindwa ku attach picha ya kwenye bibilia hapa
yesu aliweka wazi kabisa
usiombe kwa makelele
 
Ukiomba kimyakimya ni rahisi kupoteza concentration na kuruhusu fikra zako kuhama.

Hivyo ili uombe kwa kumaanisha na kwa mzigo, ni vema ukaomba kwa sauti .

Pia huwezi kemea pepo kimyakimya likatoka au kuamru kitu kimyakimya kikatokea.

Mwisho wa maombi huwa tunapima matokeo, je aliyeomba kwa sauti alipata alichoomba?
dear soma bibilia vizuri
 
mnaposali, msiwe kama wanafiki; maana wao wanapenda kusimama na kusali katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.

nashindwa ku attach picha ya kwenye bibilia hapa
yesu aliweka wazi kabisa
usiombe kwa makelele
Je, aombaye kimyakimya huwa anapata matokeo sawa na yule aliyeomba kwa sauti?
 
Of course , si sauti kubwa inayofanya sala yako isikike kwa Mungu, bali ni moyo wako.Utulivu na utaratibu vinaweza kusaidia mtu kuwa na uhusiano wa ndani zaidi na Mungu . Ma suala sio kelele au kuomba kwa sauti kubwa , tatizo ni pale sauti hizo zikifanywa kama maonyesho, hapo ndipo onyo la Yesu linaingia.....
amesema wazi kabisa
utakapo kusali ingia chumbani
 
Je, aombaye kimyakimya huwa anapata matokeo sawa na yule aliyeomba kwa sauti?
uamnini kama Mungu anajua unachotaka kuomba kabla hujaomba sembuse kuomba kwenyewe

kwanini upige makelele
huamini kwamba Mungu atakusikia?
 
Tunataka matokeo ya yule aombae kimyakimya dhidi ya yule aombae kwa sauti, kisha tuje na conclusion inafaa au haifai kuomba kwa sauti.
Lakini wewe unaposali, ingia chumbani mwako, funga mlango, kisha umwombe Baba yako asiyeonekana. Naye Baba yako aonaye yaliyofichika, atakutuza. “Mnaposali, msipayuke maneno kama watu wasiomjua Mungu. Wao hudhani kwamba Mungu atawasikiliza ati kwa sababu ya maneno mengi. Msiwe kama wao. Baba yenu anajua mnayoyahitaji hata kabla ya kumwomba. Basi, hivi ndivyo mnavyopaswa kusali: ‘Baba
 
ikiwa ni jumapili tulivu kama calender ya KKKT inavyoelekeza hili neno la leo linanifikirisha sana na nimelijua zamani sana sema sasa labda uwenda tafsiri yangu ni tofauti lakini hamna kitu sikipendi kama kuomba kwa makelele napenda utaratibu na ukimya kwani najua Mungu atanisikia tu Mathayo mtakatifu anzia pale mlango wa 6 kuanzia mstari wa kwanza
Yoyote anaye omba kwa makelele huyo ni msaniitu kama ..muhuni magembe jamaa anapiga kelele usiku kucha na mafundisho yake potovu kama kawaida wa walokole
 
Tunataka matokeo ya yule aombae kimyakimya dhidi ya yule aombae kwa sauti, kisha tuje na conclusion inafaa au haifai kuomba kwa sauti.
soma bibilia ndugu
achana na matokeo
kama unamfata yesu maneno usidonoe donoe
 
Back
Top Bottom