masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,576
- 20,183
- Thread starter
- #21
Lakini wewe unaposali, ingia chumbani mwako, funga mlango, kisha umwombe Baba yako asiyeonekana. Naye Baba yako aonaye yaliyofichika, atakutuza. “Mnaposali, msipayuke maneno kama watu wasiomjua Mungu. Wao hudhani kwamba Mungu atawasikiliza ati kwa sababu ya maneno mengi. Msiwe kama wao. Baba yenu anajua mnayoyahitaji hata kabla ya kumwomba. Basi, hivi ndivyo mnavyopaswa kusali: ‘BabaYoyote anaye omba kwa makelele huyo ni msaniitu kama ..muhuni magembe jamaa anapiga kelele usiku kucha na mafundisho yake potovu kama kawaida wa walokole