G
guest-1790917349
Guest
HAyo ni maandikohapo juu nimeeka vifungu
sijatafsiri
Ili liwe 'neno' lenye matokeo(impact) lzm Roho mtakatifu ahusike ndipo mtu anapata reveletion.....
Na hapo ndo kila 1 na tafsiri yake
HAyo ni maandikohapo juu nimeeka vifungu
sijatafsiri
Maombi ni mawasiliano, kama unaavyo fahamu kuna aina nyingi za mawasiliano na namna ya mawasiliano. Namna unaongea na mumeo, sio sawa unavyo ongea na watoto na sio sawa unavyo ongea na mchepuko na sio sawa unaongea na mashangingi. Hivyo hivyo sio maombi yote huelekezwa katika realms moja, kila reams ina aina yake ya lugha na uzungumzaji. Maombi mengi ( amabayo unasema ni kelele ) aina hiyo haiendi katika realms ya Mungu ( Yesu Kristo au Roho Mtakatifu ). Hayo ni maombi yanaelekea katika realms zingine na hasa demonic realms ambazo huwezi ongea kama upo na mpenzi wako mkiwa mnatombanaaa kule ni vita 😁😁ikiwa ni jumapili tulivu kama calender ya KKKT inavyoelekeza hili neno la leo linanifikirisha sana na nimelijua zamani sana sema sasa labda uwenda tafsiri yangu ni tofauti lakini hamna kitu sikipendi kama kuomba kwa makelele napenda utaratibu na ukimya kwani najua Mungu atanisikia tu Mathayo mtakatifu anzia pale mlango wa 6 kuanzia mstari wa kwanza
Kifungu gani cha bible kinahimiza hayo mkuu?Uombe kwa sauti ama kimya kimya yote sawa , ila kuna maombi ya kukemea lazima utoe sauti