masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,576
- 20,183
Kwa Nini hutaki kuja Catholic?ikiwa ni jumapili tulivu kama calender ya KKKT inavyoelekeza
hili neno la leo linanifikirisha sana na nimelijua zamani sana
sema sasa labda uwenda tafsiri yangu ni tofauti
lakini hamna kitu sikipendi kama kuomba kwa makelele
napenda utaratibu na ukimya kwani najua Mungu atanisikia tu
Mathayo mtakatifu
anzia pale mlango wa 6
kuanzia mstari wa kwanza
nashindwa ku attach picha leoWanafiki wakifanya kitu wanataka waonekane, hvy kelele nyingi ili ujulikane wapo
Ukiomba kimyakimya ni rahisi kupoteza concentration na kuruhusu fikra zako kuhama.ikiwa ni jumapili tulivu kama calender ya KKKT inavyoelekeza
hili neno la leo linanifikirisha sana na nimelijua zamani sana
sema sasa labda uwenda tafsiri yangu ni tofauti
lakini hamna kitu sikipendi kama kuomba kwa makelele
napenda utaratibu na ukimya kwani najua Mungu atanisikia tu
Mathayo mtakatifu
anzia pale mlango wa 6
kuanzia mstari wa kwanza
How iwe kimya kimya kwenye mambo ya faragha afu hapo hapo iwe kelele kwenye mambo mengine?Ukiomba kimyakimya ni rahisi kupoteza concentration na kuruhusu fikra zako kuhama.
Hivyo ili uombe kwa kumaanisha na kwa mzigo, ni vema ukaomba kwa sauti na kimyakimya endapo unaombea mambo ya faragha.
mnaposali, msiwe kama wanafiki; maana wao wanapenda kusimama na kusali katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.Ukiomba kimyakimya ni rahisi kupoteza concentration na kuruhusu fikra zako kuhama.
Hivyo ili uombe kwa kumaanisha na kwa mzigo, ni vema ukaomba kwa sauti na kimyakimya endapo unaombea mambo ya faragha.
dear soma bibilia vizuriUkiomba kimyakimya ni rahisi kupoteza concentration na kuruhusu fikra zako kuhama.
Hivyo ili uombe kwa kumaanisha na kwa mzigo, ni vema ukaomba kwa sauti .
Pia huwezi kemea pepo kimyakimya likatoka au kuamru kitu kimyakimya kikatokea.
Mwisho wa maombi huwa tunapima matokeo, je aliyeomba kwa sauti alipata alichoomba?
Je, aombaye kimyakimya huwa anapata matokeo sawa na yule aliyeomba kwa sauti?mnaposali, msiwe kama wanafiki; maana wao wanapenda kusimama na kusali katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.
nashindwa ku attach picha ya kwenye bibilia hapa
yesu aliweka wazi kabisa
usiombe kwa makelele
amesema wazi kabisaOf course , si sauti kubwa inayofanya sala yako isikike kwa Mungu, bali ni moyo wako.Utulivu na utaratibu vinaweza kusaidia mtu kuwa na uhusiano wa ndani zaidi na Mungu . Ma suala sio kelele au kuomba kwa sauti kubwa , tatizo ni pale sauti hizo zikifanywa kama maonyesho, hapo ndipo onyo la Yesu linaingia.....
uamnini kama Mungu anajua unachotaka kuomba kabla hujaomba sembuse kuomba kwenyeweJe, aombaye kimyakimya huwa anapata matokeo sawa na yule aliyeomba kwa sauti?
Tunataka matokeo ya yule aombae kimyakimya dhidi ya yule aombae kwa sauti, kisha tuje na conclusion inafaa au haifai kuomba kwa sauti.dear soma bibilia vizuri
Lakini wewe unaposali, ingia chumbani mwako, funga mlango, kisha umwombe Baba yako asiyeonekana. Naye Baba yako aonaye yaliyofichika, atakutuza. “Mnaposali, msipayuke maneno kama watu wasiomjua Mungu. Wao hudhani kwamba Mungu atawasikiliza ati kwa sababu ya maneno mengi. Msiwe kama wao. Baba yenu anajua mnayoyahitaji hata kabla ya kumwomba. Basi, hivi ndivyo mnavyopaswa kusali: ‘BabaTunataka matokeo ya yule aombae kimyakimya dhidi ya yule aombae kwa sauti, kisha tuje na conclusion inafaa au haifai kuomba kwa sauti.
Yoyote anaye omba kwa makelele huyo ni msaniitu kama ..muhuni magembe jamaa anapiga kelele usiku kucha na mafundisho yake potovu kama kawaida wa walokoleikiwa ni jumapili tulivu kama calender ya KKKT inavyoelekeza hili neno la leo linanifikirisha sana na nimelijua zamani sana sema sasa labda uwenda tafsiri yangu ni tofauti lakini hamna kitu sikipendi kama kuomba kwa makelele napenda utaratibu na ukimya kwani najua Mungu atanisikia tu Mathayo mtakatifu anzia pale mlango wa 6 kuanzia mstari wa kwanza
soma bibilia nduguTunataka matokeo ya yule aombae kimyakimya dhidi ya yule aombae kwa sauti, kisha tuje na conclusion inafaa au haifai kuomba kwa sauti.