masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,576
- 20,183
- Thread starter
-
- #21
Lakini wewe unaposali, ingia chumbani mwako, funga mlango, kisha umwombe Baba yako asiyeonekana. Naye Baba yako aonaye yaliyofichika, atakutuza. “Mnaposali, msipayuke maneno kama watu wasiomjua Mungu. Wao hudhani kwamba Mungu atawasikiliza ati kwa sababu ya maneno mengi. Msiwe kama wao. Baba yenu anajua mnayoyahitaji hata kabla ya kumwomba. Basi, hivi ndivyo mnavyopaswa kusali: ‘BabaYoyote anaye omba kwa makelele huyo ni msaniitu kama ..muhuni magembe jamaa anapiga kelele usiku kucha na mafundisho yake potovu kama kawaida wa walokole
Mtu yoyote anaye amini katika kwenda kanisani kuwa ndiyo msingi wa dini ya ukristo ni mpumbavu ..Yesu alisema wanaabudu wasicho kijua ...Lakini wewe unaposali, ingia chumbani mwako, funga mlango, kisha umwombe Baba yako asiyeonekana. Naye Baba yako aonaye yaliyofichika, atakutuza. “Mnaposali, msipayuke maneno kama watu wasiomjua Mungu. Wao hudhani kwamba Mungu atawasikiliza ati kwa sababu ya maneno mengi. Msiwe kama wao. Baba ye
New posts
nu anajua mnayoyahitaji hata kabla ya kumwomba. Basi, hivi ndivyo mnavyopaswa kusali: ‘Baba
ndicho wafanyacho walokole kwa sasaYesu hakuwa anakataza kabisa kuomba hadharani, bali anasisitiza nia na mtazamo wa moyo.
Na ukumbuke kuwa alisema hivyo kwa sababu wakati huo, kulikuwa na watu waliopenda kusimama hadharani na kuomba kwa sauti kubwa ili waonekane wacha Mungu
Kwani lengo la maombi ni lipi kama siyo kupata matokeo ya kile uombacho?soma bibilia ndugu
achana na matokeo
kama unamfata yesu maneno usidonoe donoe
kelele nyingi ni kama wewe pia uamini Mungu atakusikiaKwa ufupi kinachohesabiwa zaidi ni kwanini unaomba hivyo!
hayo maneno umesoma kwanza???Kwani lengo la maombi ni lipi kama siyo kupata matokeo ya kile uombacho?
ukiishi nao karibu ndo utaelewa hawa watu sijui kama wanasoma bibliaWalokole ni watu wa hovyo sana.
Unaweza kunipa tafsiri ya makelele?ikiwa ni jumapili tulivu kama calender ya KKKT inavyoelekeza hili neno la leo linanifikirisha sana na nimelijua zamani sana sema sasa labda uwenda tafsiri yangu ni tofauti lakini hamna kitu sikipendi kama kuomba kwa makelele napenda utaratibu na ukimya kwani najua Mungu atanisikia tu Mathayo mtakatifu anzia pale mlango wa 6 kuanzia mstari wa kwanza
Oya! Kumbe mpaka JF mapepo yamo?Hao jamaa ni vichaa siku nyingi sana
Unakua unamkemea nani?Uombe kwa sauti ama kimya kimya yote sawa , ila kuna maombi ya kukemea lazima utoe sauti
Una akili wewe wakupe bia ulipeWalokole ni watu wa hovyo sana.
shida sio mlevi wala mvutaji, mimi ni mpenda mashimo hasa kutoka kwa mabinti walokole.Una akili wewe wakupe bia ulipe
Wewe ni wale washida sio mlevi wala mvutaji, mimi ni mpenda mashimo hasa kutoka kwa mabinti walokole.
Hiyo ni tafsiri yakoyesu alisema msiombe kwa makelele
hapo juu nimeeka vifunguHiyo ni tafsiri yako
Biblia ni msitu mnene