Kwa kawaida suruali ni vazi la jinsia gani?Kuna mambo yanastaajabisha.
Siku moja nipo kwenye daladala
kuna mlokole akawa kapanda akaanza kuhubiri
Katika mahubiri yale akasema
mwanamke kuvaa suruali ni dhambi.
Nikajiuliza maandiko gani hayo yamesema hivyo wakati suruali zimekuja kugunduliwa majuzi tu?
Pili, nikajiuliza mbona watu wa zamani wake kwa waume walivaa
mavazi ya aina moja mfanano na magauni au tuseme madera.
Nadhani hoja wasivae suruali za kubana makalio. Mambo ya kusema suruali dhambi kwa mwanamke ni upotofu. Vazi la suruali ni ubunifu tu wa mwanadamu.
Suruali imekuwa invented karne ya 16. Na vitabu vitakatifu tunaamini viliandikwa kabla ya muda huo. Kwa iyo wewe kusema kwa mujibu ya bilia suruali ni vazi la kiume unakua unakosea.Suruali ni vazi la kiume, mwanamke atavaaje? Kasome biblia vizuri ujue mavazi yampasayo mwanamke kuvaa
Mavazi ni automatically yanajulikana kwa jamii husika .Suruali imekuwa invented karne ya 16. Na vitabu vitakatifu tunaamini viliandikwa kabla ya muda huo. Kwa iyo wewe kusema kwa mujibu ya bilia suruali ni vazi la kiume unakua unakosea.
MKuu ukisema hivyo vp zamani yale mavazi yao waliyovaa yalikua na jinsia?Kwa kawaida suruali ni vazi la jinsia gani?
"Mwanaume asivae vazi la Wanawake wala Wanawake wasivae vazi la Wanaume"
Ndio hapo sasa. inashangaza.Walikuwa uchi, wakavaa majani, wakavaa ngozi ila tatizo ni suruali.
Inatakiwa achomwe moto kwa kufanya nini?Yaani mtu achomwe moto Kwa kuvaa tu suruali! Maajabu haya
Haitakiwi kuchomwa kabisa! Anyway tu assume kuna moto ndo mwanamke achomwe Kwa kuvaa suruali, mbona kosa kama haliendani na adhabu... BTW kuna makatazo mengi sana kutiana tu kiwewe na wasiwasi wa maisha. Yaani badala tuishi Kwa amani tunawaza huo moto itakuaje.Inatakiwa achomwe moto kwa kufanya nini?
Kuna mambo yanastaajabisha.
Siku moja nipo kwenye daladala
kuna mlokole akawa kapanda akaanza kuhubiri
Katika mahubiri yale akasema
mwanamke kuvaa suruali ni dhambi.
Nikajiuliza maandiko gani hayo yamesema hivyo wakati suruali zimekuja kugunduliwa majuzi tu?
Pili, nikajiuliza mbona watu wa zamani wake kwa waume walivaa
mavazi ya aina moja mfanano na magauni au tuseme madera.
Nadhani hoja wasivae suruali za kubana makalio. Mambo ya kusema suruali dhambi kwa mwanamke ni upotofu. Vazi la suruali ni ubunifu tu wa mwanadamu.
Dharau za kupuuzia neno la Mungu ndizo zilifanya Sodoma ikaangamia,vivyo hivyo na wakati wa Nuhu waliangamizwa kwa maji kwasababu ya dharau.Yaani mtu achomwe moto Kwa kuvaa tu suruali! Maajabu haya
kasome biblia kitabu cha kumbukumbu la torati 22:5 kuhusu mavazi ya wanawake. Hivi visuruali mbano tunavyoona wanawake wanavaa ni fasheni tu ya mavazi ya kikahabaSuruali imekuwa invented karne ya 16. Na vitabu vitakatifu tunaamini viliandikwa kabla ya muda huo. Kwa iyo wewe kusema kwa mujibu ya bilia suruali ni vazi la kiume unakua unakosea.
Tatizo siyo suruali hilo ni Vazi limpasalo mwanaume mwanamke hapaswi kuvaa,huku kwetu Tanzania vazi limpasalo mwanaume ni suruali.Walikuwa uchi, wakavaa majani, wakavaa ngozi ila tatizo ni suruali.
ni kweli,kwenye biblia kuna sehemu inasema"mwanamke akivaa mavazi ya kiume ni chukkizo,na mwaume akivaa mavazi ya kike ni chukizo vilevile"Kuna mambo yanastaajabisha.