Walokole nani kawaambia mwanamke akivaa suruali anaenda motoni?

Hapa umeongea point kubwa sana. Ishu siyo suruali, suruali gani? Wanawake wanavaa sketi, ila siyo kila sketi ni sahihi. Ikiwa fupi sana ni tatizo. Biblia haitaki mambo yanayohamasisha Zinaa.
Hakuna cha point yoyote, zimepita karne ngapi ikiwa suruali zilikuwa ni mavazi ya kiume leo hii ndiyo ninyi mje kukaza mafuvu kuwa ni vazi ambalo hata Ke anavaa?

Kuna utofauti upi sasa baina ya Me na Ke ukiwa wewe ndiye Baba wa familia?

Kwanini iwe nongwa Ke kuvaa suruali isiwe nongwa Me kuvaa sidiria, sketi, undasketi, dera, bikini, na pedi?
 
Wapi Biolojia imesema wanawake wavae pedi?

Unaweza niwekea nukuu hapa ya Kibaolojia inayosema ni lazima mwanamke kuvaa pedi?
Suala la kutokwa damu baada ya yai kuharibika ni suala la kibiolojia. Pedi ni njia ya kisasa ya kikinga hiyo damu isimchafue huyo mwanamke.

Usiwe mbishi. Pedi siyo kwa ajili ya mwanaume, iwapo wewe ni mwanaume usiivae sababu huna matumizi nayo.
 
Achana na suala la kutokwa damu,kwanini wewe huvai pedi?
 
Ukiona ananyuka chubana huyo ni mfuata mkumbo halijui neno la Mungu lisemavyo
Pia suruali ni tokana na utandawazi wa HAKI SAWA baada ya Ke kuonekana wananyanyaswa sana na Me wakiwa Mama wa nyumbani kifamilia hivyo ikalazimu mashirika ya utetezi wa HAKI ZA BINADAMU kuingilia kati kwa kuleta usawa kazi wafanyazo Me hata Ke wanaweza wakazifanya wakiwezeshwa na ndipo hapo chimbuko la Ke kuanza suruali liliposhamiri kwa kasi sana kulingana na nature za kazi mbali mbali.
 
Siyo suruali, vazi lolote kwa mwanamke linaloonyesha maumbile yake si sawa sababu linachochea zinaa.

Mwanamke aliyevaa suruali ya heshima na mwanamke aliyevaa sketi fupi aliyevaa sketi fupi anakosea aliyevaa suruali ya heshima yupo sawa. Suala si suruali, suala ni vazi linalohamasisha ngono.

HUWA TUNAJIFICHA KWENYE SURUALI HUKU GIZANI KAZI NI UZINZI TU.
Suruali za heshima ndizo zipi hizo?

Au ninyi ndiyo wale mnaodai kuna suruali za kike na kiume?

Suruali ni suruali tu Mzee Baba, kweli Bongo ni noma sana kwa vituko [emoji16]
 
Mavazi ni automatically yanajulikana kwa jamii husika .

Point kubwa katika jamii yetu suruali ni za wanaume haswa sio sheria kote ila jamii yetu kwa sababu dini imegneraloze kwamba wanamkr asijifananishe na mwanaume na vice versal.

Hii ni applicable kwa jamii zote kutokana na muundo wao wa mavazi.
.Ukienda india kuna pajabi zile kwa jamii yao jata wanaume wanavaa ila Bongo ukivaa utachekwa kama mwanaume.
Bonge la point
 
Unaona aibu kuuliza mwenyewe?
Wewe Mleta mada ndiyo uulizwe kwa kutaka kung'ang'ana na mavazi ambayo hata Wazazi wako wanakusikitikia sana kwa kukuona jinsi gani unavyopotoshwa na ulimwengu sababu si kila kitu ni cha kuigwa hapa duniani, ndiyomaana hata Mungu mwenyewe alikwambia "kila jambo uwe na kiasi".
 
Hakuna cha point yoyote, zimepita karne ngapi ikiwa suruali zilikuwa ni mavazi ya kiume leo hii ndiyo ninyi mje kukaza mafuvu kuwa ni vazi ambalo hata Ke anavaa?

Kuna utofauti upi sasa baina ya Me na Ke ukiwa wewe ndiye Baba wa familia?

Kwanini iwe nongwa Ke kuvaa suruali isiwe nongwa Me kuvaa sidiria, sketi, undasketi, dera, bikini, na pedi?
Kama tamaduni zako zinasema mwanamke asivae suruali upo sawa, hakuna tatizo iwapo hatavaa.

Hoja yangu ni kuwa mwanamke asivae nguo inayohamasisha zinaa bila kujali ni suruali au sketi. Ww hoja yako inapingana na mm wapi?
 
Hapana siwezi. Ila mwanamke kuvaa suruali ya heshima anaweza.
Suruali za heshima ndizo huwa zimeandikwa "suruali za heshima" au zina tofauti zipi haswa na suruali zingine?

Ke mnateseka sana kwa kutaka kushindana na nature yenu kimaumbile mlivyoumbwa na Mungu kwa kutaka kujaribu kila kitu ilimradi tu msitofautiane na Me, hakutakuwa na kitu kama hicho trillions years, nimekaa pale [emoji117][emoji142]
 
Achana na suala la kutokwa damu,kwanini wewe huvai pedi?
Ni kama unataka kuhalalisha uvaaji pedi kwa wanaume. Kama ww ni mwanaume acha usiivae mbona huelewi? Huna matumizi nayo ile ni kwa ajili ya wanawake na suala lao la kibiolojia. Unang'ang'aana pedi pedi. Kaivue iwapo umevaa.
 
Aliyekwambia pedi ni kwa ajili ya wanawake nani?,kwanini pedi ukatae isivaliwe na wanaume na suruali ukubali wanawake wavae?
 
Ni kama unataka kuhalalisha uvaaji pedi kwa wanaume. Kama ww ni mwanaume acha usiivae mbona huelewi? Huna matumizi nayo ile ni kwa ajili ya wanawake na suala lao la kibiolojia. Unang'ang'aana pedi pedi. Kaivue iwapo umevaa.
Jamaa kakupiga vibaya sana sababu uliendelea tu kukaza fuvu lako [emoji3]

Anakuelewesha kuwa utake usitake mavazi ya kiume na ya kike hujulikana karne nyingi tu zilizopita isipokuwa Binadamu mmeacha maagizo ya Mungu na kufata tamaa za kidunia ndiyomaana Mungu kawaacha muendelee kukengeuka mkisubiri malipo sawasawa na ujira wenu.
 
Suruali za heshima ndizo huwa zimeandikwa "suruali za heshima" au zina tofauti zipi haswa na suruali zingine?

Ke mnateseka sana kwa kutaka kushindana na nature yenu kimaumbile mlivyoumbwa na Mungu kwa kutaka kujaribu kila kitu ilimradi tu msitofautiane na Me, hakutakuwa na kitu kama hicho trillions years, nimekaa pale [emoji117][emoji142]

Suruali za heshima ni zile zisizohamasisha ngono wala kuonyesha maumbile ya mwanamke. Mfano hawa hapa chini mmoja hajavaa suruali mwingine kavaa, ila anayehamasisha ngono ni asiye na suruali

images (53).jpeg
images (51).jpeg
 
Mavazi ni subjective, kuhusu vazi lipi litavaliwa na mwanaume na lipi litavaliwa na mwanamke hutegemea na tamaduni, desturi za jamii husika! Hakuna mahali katika biblia pamezungumzia 'Suruali' isipokuwa MAVAZI YAMFAAYO MWANAUME/MAVAZI YAMFAAYO MWANAMKE!

Sisi kama jamii ya kitanzania tunaweza kuamua suruali akavaa mwanaume, sketi akavaa mwanaume. Uingereza Royal family mwanaume huvaa pia sketi kwa kuwa jamii yao inalichukulia kuwa ni vazi la kiume, vazi la royal family, hivyo pia jamii ya uingereza huiga kutoka royal family kwa royal family ni kioo cha jamii ya huko!

Uarabuni wote wanaume na wanawake huvaa madera (wengine wanaita kanzu).

Jamii nyingi za ulaya na marekani wanaume na wanawake huvaa suruali kwa kuwa jamii husika kupitia tamaduni na desturi zao zimeonelea kuwa ni mavazi yavaliwayo na jinsia husika.

Jamii hizi zinazopatikana sehemu mbalimbali duniani huwa na maingiliano, maingiliano haya yamepelekea maambukizi ya mila natamaduni kutoka jamii moja kwenda nyingine. Hii ndo maana na sisi tumeiga kuvaa madera ya waarabu, kuvaa masuruali ya wazungu.

Kwanza uvaaji nguo sio utamaduni wetu, mavazi yetu ni vingozi vya wanyama kufunika mbele, nyuma, na kifuani kwa wanawake. Haya utuambie vingozi vipi ni vya wanawake, vipi ni vya wanaume, hayo manguo ya suruali tuwaachie wenye nayo, between Mungu hawezi kutumia moto wake mzuri kuwachoma mabinti zake wazuri kwa kuvaa tu suruali, moto upo kwa kazi nyingine
 
Jamaa kakupiga vibaya sana sababu uliendelea tu kukaza fuvu lako [emoji3]

Anakuelewesha kuwa utake usitake mavazi ya kiume na ya kike hujulikana karne nyingi tu zilizopita isipokuwa Binadamu mmeacha maagizo ya Mungu na kufata tamaa za kidunia ndiyomaana Mungu kawaacha muendelee kukengeuka mkisubiri malipo sawasawa na ujira wenu.
Huyo unayemuita jamaa ameng'ang'ana na pedi. Pedi sio vazi.

Hoja yangu ipo sehemu moja tu kuwa mwanamke asivae nguo inayohamasisha zinaa na ngono. Asipovaa suruali pia ni sawa sijasema lazima avae ila anapoivaa iwe ni nguo isiyohamasisha zinaa
 
Mavazi ni subjective, kuhusu vazi lipi litavaliwa na mwanaume na lipi litavaliwa na mwanamke hutegemea na tamaduni, desturi za jamii husika! Hakuna mahali katika biblia pamezungumzia 'Suruali' isipokuwa MAVAZI YAMFAAYO MWANAUME/MAVAZI YAMFAAYO MWANAMKE!

Sisi kama jamii ya kitanzania tunaweza kuamua suruali akavaa mwanaume, sketi akavaa mwanaume. Uingereza Royal family mwanaume huvaa pia sketi kwa kuwa jamii yao inalichukulia kuwa ni vazi la kiume, vazi la royal family, hivyo pia jamii ya uingereza huiga kutoka royal family kwa royal family ni kioo cha jamii ya huko!

Uarabuni wote wanaume na wanawake huvaa madera (wengine wanaita kanzu).

Jamii nyingi za ulaya na marekani wanaume na wanawake huvaa suruali kwa kuwa jamii husika kupitia tamaduni na desturi zao zimeonelea kuwa ni mavazi yavaliwayo na jinsia husika.

Jamii hizi zinazopatikana sehemu mbalimbali duniani huwa na maingiliano, maingiliano haya yamepelekea maambukizi ya mila natamaduni kutoka jamii moja kwenda nyingine. Hii ndo maana na sisi tumeiga kuvaa madera ya waarabu, kuvaa masuruali ya wazungu.

Kwanza uvaaji nguo sio utamaduni wetu, mavazi yetu ni vingozi vya wanyama kufunika mbele, nyuma, na kifuani kwa wanawake. Haya utuambie vingozi vipi ni vya wanawake, vipi ni vya wanaume, hayo manguo ya suruali tuwaachie wenye nayo, between Mungu hawezi kutumia moto wake mzuri kuwachoma mabinti zake wazuri kwa kuvaa tu suruali, moto upo kwa kazi nyingine
Hizi ndo tamaduni zetu za asili, babu zetu walivaa ngozi.
images (55).jpeg
 
Back
Top Bottom