Walokole nani kawaambia mwanamke akivaa suruali anaenda motoni?

Walokole nani kawaambia mwanamke akivaa suruali anaenda motoni?

Kuvaa suruali siyo desturi ya mwanamke wa kitanzania,ndiyo maana siyo jamii zote za wanawake huvaa suruali,desturi ya mwanamke wa kitanzania ni kuvaa sketi,hii ni desturi ya Taifa zima.

Kukeketwa siyo desturi ya mwanamke kitanzania bali ni Mila na Tamaduni ya baadhi ya makabila,na ndiyo maana wapo wanaokeketwa na ambao hawakeketwi
Desturi ya mwanamke wa kitanzania imeandikwa wapi? Tanzania ni muunganiko wa makabila. Kabla iliitwa Tanganyika.
 
Suruali imekuwa invented karne ya 16. Na vitabu vitakatifu tunaamini viliandikwa kabla ya muda huo. Kwa iyo wewe kusema kwa mujibu ya bilia suruali ni vazi la kiume unakua unakosea.
Unatuchukuliaje Wana JF?

Yani Ke avae suruali na Me avae suruali bila ya kuona kabisa K ya Ke inavyojichora mbele yako, Wazazi wako, Baba na Mama Mkwe au Watu unaowaheshimu sana?

Vipi tako, hipsi pia vikae kihasara hasara tu mbele yako wewe Baba yake na Bintiyo na Mke wako?

Kweli ukichaa upo kwa kila Mtu...[emoji124][emoji2960]
 
Hivi unaelewa maana ya desturi kweli?
Unafiki tu. Unazunguka zunguka hapo kwenye desturi sijui mila. Biblia haitaki uzinzi na mambo yanayochochea zinaa.

Huo unafiki wa kukatazana suruali ni wa kibinadamu tu. Hata ukivaa gauni la chuma kama unaruhusu kuingiliwa ingiliwa na mchungaji sijui kwaya master ww ni mchafu kuliko aliyevaa suruali yake ya heshima akaenda ofisini.
 
Mavazi yote yanapaswa kuvaliwa kwa staha na nidhamu.
 
Unatuchujuliaje Wana JF?

Yani Ke avae suruali na Me avae suruali bila ya kuona kabisa K ya Ke inavyojichora mbele yako, Wazazi wako, Baba na Mama Mkwe au Watu unaowaheshimu sana?

Vipi tako, hipsi pia vikae kihasara hasara tu mbele yako wewe Baba yake na Bintiyo na Mke wako?

Kweli ukichaa upo kwa kila Mtu...[emoji124][emoji2960]
Siyo suruali, vazi lolote kwa mwanamke linaloonyesha maumbile yake si sawa sababu linachochea zinaa.

Mwanamke aliyevaa suruali ya heshima na mwanamke aliyevaa sketi fupi aliyevaa sketi fupi anakosea aliyevaa suruali ya heshima yupo sawa. Suala si suruali, suala ni vazi linalohamasisha ngono.

HUWA TUNAJIFICHA KWENYE SURUALI HUKU GIZANI KAZI NI UZINZI TU.
 
Kwa Biblia vazi la mwanaume ni lile unalipaswa kuvaa likupaswalo,sasa hapa kwetu Vazi limpasalo mwanaume ni sketi au suruali?
Muulize tu kiufupi, je yeye yuko tayari kuvaa sidiria, undersketi, pedi na bikini kama hayo si mavazi ya kike?
 
Hizi ni hasira za kuambiwa suruali si tatizo, tatizo ni uchafu kwamba hata wakivaa magauni ya chuma, mchafu ni mchafu tu.
Umeulizwa swali hapo juu jibu,Je unaweza kuvaa Undersketi,kuvaa pedi?
 
Kwanini huwezi kuvaa?
Kwasababu ni utaratibu wangu na mfumo wangu wa maadili nilioamua kuwa nitautumia. Pia Pedi sina matumizi nayo. Nilikuwa nainunua kipindi mke wangu anaihitaji. Kwa sasa haitumii pia.
 
Maadili yapi?,kwani kuvaa pedi kuna shida gani?
Pedi ni kwa ajili ya kukinga damu za mwanamke aliyefika siku zake bila yai kurutubishwa na mbegu za mwanaume. Niliinunua kwa ajili ya mke wangu kipindi fulani hapo nyuma ila sasa na yeye haitumii.
 
Pedi ni kwa ajili ya kukinga damu za mwanamke aliyefika siku zake bila yai kurutubishwa na mbegu za mwanaume. Niliinunua kwa ajili ya mke wangu kipindi fulani hapo nyuma ila sasa na yeye haitumii.
Kwani aliyesema pedi ni kwaajili ya mwanamke ni nani?
 
Back
Top Bottom