Walokole nani kawaambia mwanamke akivaa suruali anaenda motoni?

So mwanamke akivaa suruali anajifananisha na mwanaume?🤣🤣🤣badili mindset joh utachekwa ukija mjini
Nimenukuu maandiko na mim ni mtoto mjini kushinda ndugu zako wote.

Nimelzaliwa mjini na kukulia mjini sijwahi kukaa sehemu zeny udongo machimbo yote nayajua
 
Na kumbuka hapa Muuliza swali hajaweka suala la mila na desturi,ameongelea walokole kwa maana kwamba anataka neno la Mungu litumike zaidi.
Yupo sawa, na mm nimetumia biblia pia kusema kwanza walikuwa uchi, wakavaa ngozi ila suruali ni tatizo. Kwani hoja yako ni ipi? Ni nn unachopinga?
 
Kwahiyo Samia anavyovaa suruali anajifananisha na mwanaume?🤣🤣 inferiority complex at its best, anyways si kosa lako ni jamii uliyotoka ndo inareflect uelewa wako🤔
we jamaa mshamba sana kumbe ni wale wavaa mitumba na kuoza meno ndo mjinga yaani hujielewi😅😅
 
Hakuna mahali jamii inasimika mila ila mila inakubalika na jamii. Kwani ni wapi na lini tamaduni na mila zilimsimika salamu ya shikamoo?
Salamu siyo mila na desturi kuna mahali fulani hapa hapa Tanzania hiyo hiyo salamu hata haifahamiki,Kuvaa suruali siyo mila na desturi ya mwanamke wa Kitanzania bali ni kuiga tamaduni za watu kwa kujifanya wajanja kumbe wanaunga tela
 
Nimekwambia unitajie ni wapi na lini hizo mila na desturi zilimsimika mwanamke kuvaa suruali?
Ni wapi zimemsimika mwanaume kuvaa suruali? Mila jamii inarithi kutoka kwa mababu? Jamii zetu haziruhusu mwanaume kuvaa sketi, ila mwanamke akivaa suruali hawana shida. Wewe tatizo lako ni lipi? Bado sielewi hoja yako.
 
Yupo sawa, na mm nimetumia biblia pia kusema kwanza walikuwa uchi, wakavaa ngozi ila suruali ni tatizo. Kwani hoja yako ni ipi? Ni nn unachopinga?
Walikuwa uchi kabla ya dhambi,ila baada ya dhambi Mungu akawavisha Ngozi na bila shaka unafahamu maana yake,na walipofukuzwa kwenye bustani ndipo Mungu kwa kinywa chake akatoa hilo tamko la Kumbukumbu la Torati 22:5

" Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa Bwana, Mungu wako."

Kwahiyo Mungu kutamka maneno hayo yeye ni mjinga na mvaa suruali yeye ni mjanja,ndicho unacho maanisha!
 
Ni wapi zimemsimika mwanaume kuvaa suruali? Mila jamii inarithi kutoka kwa mababu? Jamii zetu haziruhusu mwanaume kuvaa sketi, ila mwanamke akivaa suruali hawana shida. Wewe tatizo lako ni lipi? Bado sielewi hoja yako.
HOJA NI NENO LA MUNGU,KWANINI ULIPINGE NENO LINALOKATAZA MAVAZI HAYO KWA WANAWAKE?

HOJA NDIYO HIYO
 
Salamu siyo mila na desturi kuna mahali fulani hapa hapa Tanzania hiyo hiyo salamu hata haifahamiki,Kuvaa suruali siyo mila na desturi ya mwanamke wa Kitanzania bali ni kuiga tamaduni za watu kwa kujifanya wajanja kumbe wanaunga tela
Unayajua mavazi ya mtanganyika kabla ya kupokea wazungu na waarabu? Kama tulivyoiga salamu ndivyo tulivyoiga na mavazi. Ngoja nikafanye mambo mengine mkuu.
 
Achana na mambo ya Tanganyika na blah blah,hoja ipo kwa walokole ina maana inarifaa kwenye neno la Mungu,tembea na neno la Mungu acha blah blah
 
Walikuwa uchi kabla ya dhambi,ila baada ya dhambi Mungu akawavisha Ngozi na bila shaka unafahamu maana yake,na walipofukuzwa kwenye bustani ndipo Mungu kwa kinywa chake akatoa hilo tamko la Kumbukumbu la Torati 22:5

" Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa Bwana, Mungu wako."

Kwahiyo Mungu kutamka maneno hayo yeye ni mjinga na mvaa suruali yeye ni mjanja,ndicho unacho maanisha!
Biblia inasema mavazi yampasayo mwanaume ni yapi?
 
Mavazi yampasayo mwanamume kwa hapa kwetu Tanzania ni Suruali
Na kwa biblia mavazi ya mwanaume unatakiwa uvae nn? Maana nimeona umemweleza member hapo juu aachane na Tanganyika ambayo ndo Tanzania kwa sasa.
 
Achana na mambo ya Tanganyika na blah blah,hoja ipo kwa walokole ina maana inarifaa kwenye neno la Mungu,tembea na neno la Mungu acha blah blah
Linapokuja suala la biblia mila za Tanganyika hazihusiki siyo? Okey. Sawa.
 
Na kwa biblia mavazi ya mwanaume unatakiwa uvae nn? Maana nimeona umemweleza member hapo juu aachane na Tanganyika ambayo ndo Tanzania kwa sasa.
Kwa Biblia vazi la mwanaume ni lile unalipaswa kuvaa likupaswalo,sasa hapa kwetu Vazi limpasalo mwanaume ni sketi au suruali?
 
Kwa hiyo hapa kwetu mila zikiruhusu sketi ingekuwa siyo tatizo kwa biblia?
 
Unapoongelea mila maana yake ni kabila.

Sema endapo desturi yetu ingeruhusu mwanaume kuvaa sketi,Yes wanaume tungevaa kwasababu ndiyo desturi yetu na kusingekuwa na tatizo
 
Back
Top Bottom