Walokole, tangu muanze kumkanyaga Shetani kwa jina la Yesu mmefikia wapi?

Ukishajua maana ya IMANI, utaacha kuhoji vitu visivyo na msingi.

Dini karibia zote zinajikanyaga sana kwenye mambo mengi, ila kwa sababu ni IMANI, tunawaacha kila mtu aende anavyoona inamfaa.
 
Mchungaji ana wozolo
 
Ukishajua maana ya IMANI, utaacha kuhoji vitu visivyo na msingi.

Dini karibia zote zinajikanyaga sana kwenye mambo mengi, ila kwa sababu ni IMANI, tunawaacha kila mtu aende anavyoona inamfaa.
Imani nyingine lazima tuwe nazo makini na tuzihoji kwa kina yasije yakawa kama yale ya Joseph Kibwetere na Credonia Mwerinde wa Movement for the Restoration of the Ten Commandments of God huko Uganda.🤔
 
Ila we Jamaa
 
Ni kazi ya serikali ku-scrutinise, kule Rwanda wameweza kwa kutumia vigezo vyao, sisi tunaruhusu kila kitu.
 
WANASEMA KICHWA CHA SHETANI SASA KIMEKUWA KAMA CHAPATI KWA SABABU KIMEKANYAGWA SANA.

MENEMENE TEKERI NA PERESI nasikia Harmful kaanguka katikati ya mahubiri, hebu nipe testimoni huko kanisani kwenu.

min -me.
Astaghafulilah Astaghafulilah Astaghafulilah .
Umenikosea sana aisee siwezi kusali wala kuwa kwenye kundi hilo la mataira kaka .

Mimi ni sheikh japo kwasasa ni ma'muma maana sijui mara ya mwisho nilikanyaga lini msikitini ila niko kwenye mawazo ya kuwa atheist maana wale masheikh ubwabwa walinichefua sana bado sijapona na sidhani kama nitapona.
Wabillah wataufiq
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…