Kama katiba ingelikuwa nzuri. Wa-Loliondo wasingeondoka kwenye ardhi ya mababu zao. Zuio la kimahakama lingewekwa na rais angeburuzwa mahakamani.
Lakn katiba yetu inamlinda rais kuhojiwa na kushitakiwa na chombo chochote kwa kosa lolote atakalolitenda akiwa anatekeleza kazi zake za urais.
Yaani rais Samia anaweza kushitakiwa na mumewe kwa kutofua nguo na kuosha vyombo nyumbani lkn akiharibu kazi ya urais haguswi. Hatari Sana!
Kwa katiba hii atatokea rais chizi awafurushe watu wa kabila fulani waondoke nchi hii. Kama ilivyotokea kwa warohingya kule Myamar.
Tutengeneze katiba nzuri yenye meno inayojilinda yenyewe. Asiwepo mtu wa kucheza na katiba. Iwe inamkata kila anayejaribu kuigusa vibaya.