Waluguru wanafukia ufuo wa maiti chumbani

Dini hazizingatii mantiki, bali imani.

Mijadala ya kimantiki kwenye masuala ya kidini haiwezi kufikia mwafaka.

Kama mtu huna imani na dini, baki hivyo. Ukihoji logic ya masuala ya kidini unapoteza muda na nguvu. Hakuna logic kwenye dini, kuna imani.
 
Hata wewe ukifa unaweza kutolewa mavi,inategemea umekufa vipi.Kuna wanaokufa wakitoka mavi,mkojo,damu,usaha na kuharisha,udenda.Vifo vipo vya aina nyingi,kuna ajali,kuna kufa kwa kipindupindu,kuharisha,kufa kwa ghafla.Nk.
Mimi nazungumzia kukamuliwa mavi ukiwa umeshadedi... Kama unayaachia ukiwa unapambania uhai, hiyo tutaianzishia thread yake
 
Kuna self
Siku hizi mpo hai mnaishi na mavi yenu vyumbani, tena wazi, kwenye ma self-contain. Si heri hayo ya kukafiniwa yanafukiwa panasakafiwa hakuna kinachobaki.
Kuna self_container ambayo ndani ni choo cha shimo!?
 
HUOGOPI KUANDIKA DHIHAKA JUU YA MUNGU WETU MZEE????[emoji848][emoji848][emoji848]

NI YEYE ALIKUUMBA NA KUKUPA AKILI ZA KUJA KUMDHIHAKI NA KUMTUSI.

KUWA MAKINI NA KAULI ZAKO, HAKUNA ALIYEWAHI KUMDHIHAKI NA AKAPATA MATOKEO CHANYA. JITAHIDI UBONGO WAKO UUNGANIKANE NA ULIMI WAKO USIONGEE BILA KICHWA. ITAKUGHARIMU.
Kosa lipo kwa nani kati ya aliyempa hiyo akili ya kutukana au au aliepewa akili ya kutukana.
 
Leo nimehudhuria msiba wa waluguru nimeona mambo ya kushangaza naomba mnisaidie maelezo.

Mtu amefia nyumbani kwake tena chumbani kwake anapolala na mke wake.
Sasa kwakuwa marehemu ni muislam wameamua kupitia mila ya waluguru kumuosha mwili wake mulemule chumbani.

Kilichotokea wamechimba shimo mule chumbani kwake na ni nyumba ya smenti wametindua smenti mpaka kukawa na shimo halafu marehemu wakamkafini hapohapo kwenye shimo chumbani. (wasiojua maana ya kukafini ni kumtoa mavi marehemu kabla ya kumzika) walipomaliza kumkafini yale maji yakaachwa mulemule chumbani alipofia marehemu.

Nikauliza sasa hayo maji inakuwaje wakasema hiyo ni mila ya waluguru yani mtu anaacha wosia kabisa kwamba nikifa ufuo wangu uachwe humuhumu chumbani. (Ufuo ni mavi ya marehemu)

Sasa kitakachofanywa baadae eti pale patasakafiwa hivyohivyo na maji ya marehemu pamoja na kinyesi kilichotoka baada ya kukafiniwa.
Hizo ndizo taratibu za kiislam
 
Mkuu upumbavu bado ni tatizo kubwa sana nchini.

Kwani mtu akifa na akazikwa akiwa na mavi huko mbinguni huyo mungu hataki mavi ama hakuna vyoo vya kunya huko mbinguni?

Je hayo mavi akifa anaenda nayo ama yanafukiwa tu ardhini? Kwa mfano mtu akimezwa na samaki na mavi yake, mungu anafanyaje ama anamkataa kwamba hajakamuliwa mavi? Ama akiliwa na mamba na mavi yake, je mungu anamkataa kwamba hajakamuliwa mavi?

Ama mtu akiungua na moto ama akilipuliwa na bomu akateketea kabisa ama akaenda na maji akafariki na mwili wake usipatikane, je mungu anawafanyaje watu wa hivyo, anawakataa kwamba hawakukamuliwa mavi?

Dini nyingine bwana, halafu unaambiwa hayo maelekezo yamendikwa na mungu ambae inasemekana ana akili na uwezo kuliko binadamu halafu anaandika uharo kama huo.

Dini+mila na desturi za kipumbavu zinaonyesha kabisa huyo mungu nae hana akili kabisa.
Waulize mitume wa Mwenyezi Mungu,na swali jingine Yesu alizikwa na jeneza?
 
Mie naona labda ni mila

Hapa jirani,baba mwenye nyumba alivyofariki walimuoshea ndani,tena hicho chomba walkitindua kabisa,,na yale maji walinawishwa usoni wafiwa wote.na kabla ya gari iliyobeba jeneza kuondoka yale maji yanamwagwa barabarani. ,,niliuliza kwanini mnatumia hayo maji kunawishwa usoni??.......wakaseme eti wakinawishwa yale maji wanakuwa hawaogopi.

Huu ulikuwa msiba wa KIKRISTO.

Nyie endeleeni kukariri,

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji51]
 
Mkuu upumbavu bado ni tatizo kubwa sana nchini.

Kwani mtu akifa na akazikwa akiwa na mavi huko mbinguni huyo mungu hataki mavi ama hakuna vyoo vya kunya huko mbinguni?

Je hayo mavi akifa anaenda nayo ama yanafukiwa tu ardhini? Kwa mfano mtu akimezwa na samaki na mavi yake, mungu anafanyaje ama anamkataa kwamba hajakamuliwa mavi? Ama akiliwa na mamba na mavi yake, je mungu anamkataa kwamba hajakamuliwa mavi?

Ama mtu akiungua na moto ama akilipuliwa na bomu akateketea kabisa ama akaenda na maji akafariki na mwili wake usipatikane, je mungu anawafanyaje watu wa hivyo, anawakataa kwamba hawakukamuliwa mavi?

Dini nyingine bwana, halafu unaambiwa hayo maelekezo yamendikwa na mungu ambae inasemekana ana akili na uwezo kuliko binadamu halafu anaandika uharo kama huo.

Dini+mila na desturi za kipumbavu zinaonyesha kabisa huyo mungu nae hana akili kabisa.
Hiko ni kiburi cha uzima.
Unaamua kuropoka tu kwa sababu uko na pumzi full tank.
Usiwe na kiburi cha uzima we punda
 
Mkuu upumbavu bado ni tatizo kubwa sana nchini.

Kwani mtu akifa na akazikwa akiwa na mavi huko mbinguni huyo mungu hataki mavi ama hakuna vyoo vya kunya huko mbinguni?

Je hayo mavi akifa anaenda nayo ama yanafukiwa tu ardhini? Kwa mfano mtu akimezwa na samaki na mavi yake, mungu anafanyaje ama anamkataa kwamba hajakamuliwa mavi? Ama akiliwa na mamba na mavi yake, je mungu anamkataa kwamba hajakamuliwa mavi?

Ama mtu akiungua na moto ama akilipuliwa na bomu akateketea kabisa ama akaenda na maji akafariki na mwili wake usipatikane, je mungu anawafanyaje watu wa hivyo, anawakataa kwamba hawakukamuliwa mavi?

Dini nyingine bwana, halafu unaambiwa hayo maelekezo yamendikwa na mungu ambae inasemekana ana akili na uwezo kuliko binadamu halafu anaandika uharo kama huo.

Dini+mila na desturi za kipumbavu zinaonyesha kabisa huyo mungu nae hana akili kabisa.
Nakuona kama na wewe umeanza kuheuka hivi! Sasa shida ni nini kama wenyewe wameamua kufanya hivyo basi na iwe hivyo.

Kwani Mungu amesema anahitaji watu waliovaa suti ndiyo wazikwe hivyo? Si uamuzi wa wenyewe wanaomzika?
 
Back
Top Bottom