Waluguru wanafukia ufuo wa maiti chumbani

Eeh bana,sema uzuri ile nyumba ilikuwa ya idongo na haikuwa na sakafu ya cement.

Nilikuwa kwenye msiba huo ni jirani na mahali ninapoishI,dah nyumba ya mwarusha ilikuwa ni noma
Halafu maji wakachanganyia kwenye msosi??
 
Dini hazizingatii mantiki, bali imani.

Mijadala ya kimantiki kwenye masuala ya kidini haiwezi kufikia mwafaka.

Kama mtu huna imani na dini, baki hivyo. Ukihoji logic ya masuala ya kidini unapoteza muda na nguvu. Hakuna logic kwenye dini, kuna imani.
 
Hata wewe ukifa unaweza kutolewa mavi,inategemea umekufa vipi.Kuna wanaokufa wakitoka mavi,mkojo,damu,usaha na kuharisha,udenda.Vifo vipo vya aina nyingi,kuna ajali,kuna kufa kwa kipindupindu,kuharisha,kufa kwa ghafla.Nk.
Mimi nazungumzia kukamuliwa mavi ukiwa umeshadedi... Kama unayaachia ukiwa unapambania uhai, hiyo tutaianzishia thread yake
 
Kuna self
Siku hizi mpo hai mnaishi na mavi yenu vyumbani, tena wazi, kwenye ma self-contain. Si heri hayo ya kukafiniwa yanafukiwa panasakafiwa hakuna kinachobaki.
Kuna self_container ambayo ndani ni choo cha shimo!?
 
Kosa lipo kwa nani kati ya aliyempa hiyo akili ya kutukana au au aliepewa akili ya kutukana.
 
Hizo ndizo taratibu za kiislam
 
Waulize mitume wa Mwenyezi Mungu,na swali jingine Yesu alizikwa na jeneza?
 
[emoji51]
 
Hiko ni kiburi cha uzima.
Unaamua kuropoka tu kwa sababu uko na pumzi full tank.
Usiwe na kiburi cha uzima we punda
 
Kuna yule mbwa mmoja aliyeigiza movie halafu umbwa wenzie ndo wanamuabudia mpaka leo. Wazungu ni wajinga sana.
 
Nakuona kama na wewe umeanza kuheuka hivi! Sasa shida ni nini kama wenyewe wameamua kufanya hivyo basi na iwe hivyo.

Kwani Mungu amesema anahitaji watu waliovaa suti ndiyo wazikwe hivyo? Si uamuzi wa wenyewe wanaomzika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…