Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Utawaonaje sasa?Mbona
Mbona vyakula vinapikwa kwa uwazi? Hizo mixa wanaweka muda gani?
Watu wamefukua mabaki ya binadamu, makaburini, na wakajenga nyumba ya kuishi.Mkuu wewe utaishi humo baadae?
Ikiwa wenyewe hawahangaiki kuishi na hayo maji ya kafini wewe ambae hautakuwepo unahangaika nini mkuu
Acha kuumia kwa vitu ambavyo havitakuhusu moja kwa moja
Achana na mawazo ya kipumbavu, mungu hayupo na hata kama yupo hana mawazo ya kitaahira kama yaliyoandikwa kwenye vitabu vyenu vya dini. Kwamba mungu yuko very much interested na mavi ya mtu, ana akili kweli?Kuna watu mtakuja kujuta sana Siku ya mwisho..... Kutokumuamini mungu haitoshi unaamua kumtukana kabisa......Ya rabbi tunusuru
View attachment 2217235
Umekuja ukiwa hai. Unaondoka ukiwa mfu.Ulikuja bila mavi
Utaondoka bila.mavi.
Unaacha kila kitu duniani, unaondoka super empty
Jamani tunatapishana huku 😪😪 lengo hasa ni nini kuchanganya na maji ya kupikia?? MmhWana mtindo mmoja na Wazigua. Sema wazigua ufuo wa mwisho huwa wanakinga wanachanganya na maji ya kupikia chakula cha msibani. Ukienda msiba wa Wazigua ukila chakula ujue umekunywa uharo wa maiti
Ni balaa!Mtumeee
Wanasema nikujenga ushirika wa kudumu na mpendwa wao. Mimi sioni tatio, shida ni kwamba kwanini wawalishe wahudhuriaji wote?! Walipaswa kula peke yao kama ndugu wa marehemuJamani tunatapishana huku 😪😪 lengo hasa ni nini kuchanganya na maji ya kupikia?? Mmh
Mtafanya watu wasile msibani aisee. Wadau wanabebaga na kachumbari wakienda msibani!Ni balaa!
Wanasema nikujenga ushirika wa kudumu na mpendwa wao. Mimi sioni tatio, shida ni kwamba kwanini wawalishe wahudhuriaji wote?! Walipaswa kula peke yao kama ndugu wa marehemu
Naamini Mungu Hana shida na kinyesi Cha mfu sijui haya mambo walitoa wapi Hawa watu wa dini.Achana na mawazo ya kipumbavu, mungu hayupo na hata kama yupo hana mawazo ya kitaahira kama yaliyoandikwa kwenye vitabu vyenu vya dini. Kwamba mungu yuko very much interested na mavi ya mtu, ana akili kweli?
Wabebe na kasoda kabisaa ila habari ndiyo hiyoMtafanya watu wasile msibani aisee. Wadau wanabebaga na kachumbari wakienda msibani!
Uongo mtoto naakuja na mavi. Tumboni kwa mama anakula kupitia mama acha fixUlikuja bila mavi
Utaondoka bila.mavi.
Unaacha kila kitu duniani, unaondoka super empty
wakamkafini
Sunna hiyo. Afu unaongeza kinga ya mwiliJamani tunatapishana huku 😪😪 lengo hasa ni nini kuchanganya na maji ya kupikia?? Mmh
Hayo yote ni mafunzo kutoka kwa mjinga mmoja ambaye hakujua kusoma wala kuandika, akapata wafuasi akawahadaa mpaka leo hii bado wameshikilia mafundisho ya mjinga.Mkuu upumbavu bado ni tatizo kubwa sana nchini.
Kwani mtu akifa na akazikwa akiwa na mavi huko mbinguni huyo mungu hataki mavi ama hakuna vyoo vya kunya huko mbinguni?
Je hayo mavi akifa anaenda nayo ama yanafukiwa tu ardhini? Kwa mfano mtu akimezwa na samaki na mavi yake, mungu anafanyaje ama anamkataa kwamba hajakamuliwa mavi? Ama akiliwa na mamba na mavi yake, je mungu anamkataa kwamba hajakamuliwa mavi?
Ama mtu akiungua na moto ama akilipuliwa na bomu akateketea kabisa ama akaenda na maji akafariki na mwili wake usipatikane, je mungu anawafanyaje watu wa hivyo, anawakataa kwamba hawakukamuliwa mavi?
Dini nyingine bwana, halafu unaambiwa hayo maelekezo yamendikwa na mungu ambae inasemekana ana akili na uwezo kuliko binadamu halafu anaandika uharo kama huo.
Dini+mila na desturi za kipumbavu zinaonyesha kabisa huyo mungu nae hana akili kabisa.
Mavi au maji?Maji hayo yanatafutwa sana na waganga wetu, ili kutatua shida za watu mbalimbali.
Duh... kumbe Mleta hoja kasema ukweli. Mi nilidhani anatania..Mtoa mada acha uzwazwa, mtu kuoshwa ni taratibu ya lazima kwa muislam yoyote atayekufa na maiti yake kupatikana. Kuna heshima ya kumtendea marehemu haswa akiwa alikua na nyumba yake mwenyewe ambayo moja wapo ni kuoshewa nyumbani kwake nai inapendeza wakati kumuosha kama ni nyumbani lichimbwe shimo ili maji yatoyotokana na kuosha yaingie na kuyafukia kazi inapomalizika iwapoitashindikana basi unawekwa mchanga mfano wa beseni kuzunguka sehemu anayooshewa kisha wanafukia na kuzoa ule mchanga.
Sasa kama mtu nyumba ni yako kuna ubaya gani mtu ananyumba yake amefia nyumbani watu wakachimba shimo ili kutimiza sharti la marehemu kuoshwa!? Tena wengine huwa wanaandaa kabisa sehemu ambayo itafanyika hiyo shughuri.
Masharti ya uislam kwa mtu mwenye imani ya kiislam akifa ni Kuosha, kuvishwa sanda, kusaliwa na Kuzikwa. Katika kuosha ndio kuna kitendo cha kukafini ili kuondoa uchafu uliopo tumboni na sio lazima uchafu utoke ila kuoshwa ni lazima.
Sio vizuri kupotosha kitu ambacho hauna elimu nacho kama wewe ni mpenda nasaba basi usiwapangie watu namna ya kuagana na wapendwa wao kwa vile wewe unaogopa chumba alichooshewa marehemu.