Waluguru wanafukia ufuo wa maiti chumbani

Waluguru wanafukia ufuo wa maiti chumbani

Huu Uzi umejaa upotoshaji. Kwanza Kukafini ni kumvisha Sanda maiti. Lakin pia kwenye uislam hakuna hiyo mnaita kumkamua maiti mavi
Acha kupotosha watu wewe,labda kama hujasoma dini yako mwenyewe,ukihitaji ushahidi wa vitabu soma mkusanyo wa hadithi za mtume.

  • MKWELI MWAMINIFU - JUZUU 2
  • AL LULU WAL MARJANI.
 
Ni balaa!

Wanasema nikujenga ushirika wa kudumu na mpendwa wao. Mimi sioni tatio, shida ni kwamba kwanini wawalishe wahudhuriaji wote?! Walipaswa kula peke yao kama ndugu wa marehemu

Myths
Hakuna ushahidi wowote
Tulivyo wanoko na simu janja hizi unafikiri video Clips ngapi tungeziona wakiweka ingredients za mikojo na kinyesi kwenye mlo?
 
Mkuu niamini mimi waisalamu wanakamua uchafu maiti wala hili halihitaji mjadala na hata ukitaka vitabu vyao vya dini vimeruhusu jambo hili kimojawapo kinaitwa MKWELI MWAMINIFU - JUZUU YA PILI.

Kinasema " anayemuosha maiti sharti amkamue hadi utoke uchafu wote tumboni mwake"

Huyo anayebisha aje hapa akanushe,ni hadithi sahihi za mtume.
Najaribu kuwaza hilo zoezi la ukamuaji linafanyikaje. Maana mtu akidedi anakuwa kakakamaa...

Mungu apitishe mbali yasinikute mambo haya
 
Najaribu kuwaza hilo zoezi la ukamuaji linafanyikaje. Maana mtu akidedi anakuwa kakakamaa...

Mungu apitishe mbali yasinikute mambo haya
Mkuu wanatumia maji ya moto kiasi(vuguvugu).Wanakuwa na mafuta ya taa ili kukata harufu,maji ya moto yanasaidia kuuweka mwili katika hali ya kutokakamaa,sio utani,kama wanabisha waje hapa wakanushe.
 
Siku hizi mpo hai mnaishi na mavi yenu vyumbani, tena wazi, kwenye ma self-contain. Si heri hayo ya kukafiniwa yanafukiwa panasakafiwa hakuna kinachobaki.
Unataka useme ukifa bila kukamuliwa Mungu (wako) hapokei roho yako?

Na kama anapokea, ulazima wa kukamua mtu ni upi kama mtu anafukiwa ?

tuelimishe tafadhali....
 
Mmh hapana kwa kweli kama mambo yenyewe ndo haya na nyumba uhame kabisaaaaaa tena nenda mbali na hapo ikiwezekana hama mkoa,mambo gani ss haya!
 
Mtu amefia nyumbani kwake tena chumbani kwake anapolala na mke wake.
Sasa kwakuwa marehemu ni muislam wameamua kupitia mila ya waluguru kumuosha mwili wake mulemule chumbani.
Waluguru noma!
Sasa wakimbinya sana huyo jamaa akiamka na kuwasihi wakabaji wake......."pole pole jamani mnaniumiza!."......
Si mbio hizo watu kutokea dirishani!
 
Back
Top Bottom