Waluguru wanafukia ufuo wa maiti chumbani

Waluguru wanafukia ufuo wa maiti chumbani

Unataka useme ukifa bila kukamuliwa Mungu (wako) hapokei roho yako?

Na kama anapokea, ulazima wa kukamua mtu ni upi kama mtu anafukiwa ?

tuelimishe tafadhali....
Sijakuelewa swali lako maana naona umeshatowa majibu yako kwa ujuavyo wewe. Unataka kuelewa au kubishana?
 
Mkuu upumbavu bado ni tatizo kubwa sana nchini.

Kwani mtu akifa na akazikwa akiwa na mavi huko mbinguni huyo mungu hataki mavi ama hakuna vyoo vya kunya huko mbinguni?

Je hayo mavi akifa anaenda nayo ama yanafukiwa tu ardhini? Kwa mfano mtu akimezwa na samaki na mavi yake, mungu anafanyaje ama anamkataa kwamba hajakamuliwa mavi? Ama akiliwa na mamba na mavi yake, je mungu anamkataa kwamba hajakamuliwa mavi?

Ama mtu akiungua na moto ama akilipuliwa na bomu akateketea kabisa ama akaenda na maji akafariki na mwili wake usipatikane, je mungu anawafanyaje watu wa hivyo, anawakataa kwamba hawakukamuliwa mavi?

Dini nyingine bwana, halafu unaambiwa hayo maelekezo yamendikwa na mungu ambae inasemekana ana akili na uwezo kuliko binadamu halafu anaandika uharo kama huo.

Dini+mila na desturi za kipumbavu zinaonyesha kabisa huyo mungu nae hana akili kabisa.
Punguza jazba mkuu[emoji28]
 
Wana mtindo mmoja na Wazigua. Sema wazigua ufuo wa mwisho huwa wanakinga wanachanganya na maji ya kupikia chakula cha msibani. Ukienda msiba wa Wazigua ukila chakula ujue umekunywa uharo wa maiti
Mmh aiseee....... kumbe hili jambo nikweli? Niliwahi kusikia ila nikapuuza nikadhani ni story za vijiwe vya Kahawa tu
 
(wasiojua maana ya kukafini ni kumtoa mavi marehemu kabla ya kumzika)
Hapa umejidanganya wewe na kuwadanganya watu, kukafini siyo kumkamua maiti mavi, hili kwanza halipo katika uislamu, kukafini ni kumpamba maiti yaani kumvika Sanda.

Soma hadithi hizi zifuatazo :

Aaishah (Radhwiya Allaahu ‘anhaa) “Alikafiniwa Nabiy (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) katika nguo tatu nyeupe, hakuna kanzu wala kilemba katika sanda hizo.” [Imaam Ahmad na Abu Daawuud].

Nyingine ni :

Amesema Mtume wa Allah, amani ya Allah iwe juu yake wakati alipofariki mtu akiwa katika hali ya kuhirimia, “Mkafinini kwa nguo yake” [Al-Bukhaariy na Muslim]

Tunaona kukafini ni kumpamba maiti kwa vazi maalumu nalo ni sanda, yaani kumvika sanda maiti.

Shukrani.
 
Kilichotokea wamechimba shimo mule chumbani kwake na ni nyumba ya smenti wametindua smenti mpaka kukawa na shimo halafu marehemu wakamkafini hapohapo kwenye shimo chumbani.(wasiojua maana ya kukafini ni kumtoa mavi marehemu kabla ya kumzika) walipomaliza kumkafini yale maji yakaachwa mulemule chumbani alipofia marehemu.
Nikauliza sasa hayo maji inakuwaje wakasema hiyo ni mila ya waluguru yani mtu anaacha wosia kabisa kwamba nikifa ufuo wangu uachwe humuhumu chumbani. (Ufuo ni mavi ya marehemu)
Looh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu upumbavu bado ni tatizo kubwa sana nchini.

Kwani mtu akifa na akazikwa akiwa na mavi huko mbinguni huyo mungu hataki mavi ama hakuna vyoo vya kunya huko mbinguni?

Je hayo mavi akifa anaenda nayo ama yanafukiwa tu ardhini? Kwa mfano mtu akimezwa na samaki na mavi yake, mungu anafanyaje ama anamkataa kwamba hajakamuliwa mavi? Ama akiliwa na mamba na mavi yake, je mungu anamkataa kwamba hajakamuliwa mavi?

Ama mtu akiungua na moto ama akilipuliwa na bomu akateketea kabisa ama akaenda na maji akafariki na mwili wake usipatikane, je mungu anawafanyaje watu wa hivyo, anawakataa kwamba hawakukamuliwa mavi?

Dini nyingine bwana, halafu unaambiwa hayo maelekezo yamendikwa na mungu ambae inasemekana ana akili na uwezo kuliko binadamu halafu anaandika uharo kama huo.

Dini+mila na desturi za kipumbavu zinaonyesha kabisa huyo mungu nae hana akili kabisa.
HUOGOPI KUANDIKA DHIHAKA JUU YA MUNGU WETU MZEE????[emoji848][emoji848][emoji848]

NI YEYE ALIKUUMBA NA KUKUPA AKILI ZA KUJA KUMDHIHAKI NA KUMTUSI.

KUWA MAKINI NA KAULI ZAKO, HAKUNA ALIYEWAHI KUMDHIHAKI NA AKAPATA MATOKEO CHANYA. JITAHIDI UBONGO WAKO UUNGANIKANE NA ULIMI WAKO USIONGEE BILA KICHWA. ITAKUGHARIMU.
 
Achana na mawazo ya kipumbavu, mungu hayupo na hata kama yupo hana mawazo ya kitaahira kama yaliyoandikwa kwenye vitabu vyenu vya dini. Kwamba mungu yuko very much interested na mavi ya mtu, ana akili kweli?
Too primitive. Mpaka leo unapinga uwepo wa MUNGU.

MUNGU TUSAMEHE SANA, SISI NI WENYE MADHAIFU MENGI, HUKUTUUMBA KUWA WAKAMILIFU. HATUJUI TULITENDALO.
 
Haya ni mamila ambayo yanakuwa motivated na ibada za kichawi za kimizimu......nashangaa kuna dini zinafanya mambo kama hayo, unamwosha na kumkamua mavi mtu aliyekufa ili iweje?

Mimi pia nashangaa, point ya kumkamua mavi ni nini, akizikwa na hayo mavi kuna madhara gani! Naona ni upumbavu tu.
 
Mkuu upumbavu bado ni tatizo kubwa sana nchini.

Kwani mtu akifa na akazikwa akiwa na mavi huko mbinguni huyo mungu hataki mavi ama hakuna vyoo vya kunya huko mbinguni?

Je hayo mavi akifa anaenda nayo ama yanafukiwa tu ardhini? Kwa mfano mtu akimezwa na samaki na mavi yake, mungu anafanyaje ama anamkataa kwamba hajakamuliwa mavi? Ama akiliwa na mamba na mavi yake, je mungu anamkataa kwamba hajakamuliwa mavi?

Ama mtu akiungua na moto ama akilipuliwa na bomu akateketea kabisa ama akaenda na maji akafariki na mwili wake usipatikane, je mungu anawafanyaje watu wa hivyo, anawakataa kwamba hawakukamuliwa mavi?

Dini nyingine bwana, halafu unaambiwa hayo maelekezo yamendikwa na mungu ambae inasemekana ana akili na uwezo kuliko binadamu halafu anaandika uharo kama huo.

Dini+mila na desturi za kipumbavu zinaonyesha kabisa huyo mungu nae hana akili kabisa.
Hio avatar yako [emoji23][emoji23]
 
Swali kuna shida gani mfuo kubaki ndani?

Labda niweke hivi, Waluguru wamekopa mila ya kufua baada ya kuinterect na waarabu waislam. Awali maandalizi ya maiti haikuwa hivyo kadhalika uzikaji wake.

Waluguru kama wabantu wengine wanaamini uchawi na baada ya kuona maji ya maiti yanatumika sana kufanyia uchawi, waliona ni kuepuka ni kuzuia mfuo kutoka nje.

Kama umemsoma Mshana Jr mara kadhaa meonesha matumizi ya mfuo.

Ule mfuo hauwezi kutupwa kwenye choo cha kawaida kwa kuwa kwa asili mluguru anaheshimu maiti(Though wanasema maiti ni chafu, ndugu walikuwa hawaruhusiwi kuigusa msiba unashughulikiwa na watani tu, lakini leo kuna tofauti kidogo).

Sasa sijajua wewe unataka mfuo usibaki ndani, unataka mfuo upelekwe wapi? Kwa wanaoheshimu utu wa maiti hadi leo huwa hawaoshi maiti mochwari

Mkoba Mfuko kwa niaba ya waluguru. Na napokeo maswali zaidi.
 
Back
Top Bottom