Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Wakristo,mbona mko wepesi wa kudanganywa,mkadanganyika.Tumieni akili,kama chakula kinachanganywa na kinyesi,unafikiri,hao wanaokuka chakula hicho,isingekuwa maradhi ya mlipuko,hayaishi maeneo husika.Hayo yote ni mafunzo kutoka kwa mjinga mmoja ambaye hakujua kusoma wala kuandika, akapata wafuasi akawahadaa mpaka leo hii bado wameshikilia mafundisho ya mjinga.
Ndio maana,mnadanganywa mengi,na mnaamini,ndio wakazuka,wanaowakanyaga watu makanisani,wanaowalisha majani makanisani,wanaojifunga kamba mabegani,wakajifanya wanapaa,wanaojifanya ni Mungu,waabudiwe,kuna wanaojifanya wanawafutia dhambi nk.
Kama kuoshwa,hata wakristo wanaoshwa,kwa hiyo hayo maji,unaoshea maiti,mnachanganya na chakula.