Sure mkuu, alafu hiki kitu nimewahi kukihisi. Wameanza wamachinga, watafuata wakulima, madereva, mama ntilie hadi 2025 almost kila kikundi kitakuja na hii issue. Bungeni kama unavyojua na inavyoonekana ni “NDIYO” kwa kishindoA coordinated move
Kiuhalisia kupitia hawa watu serekali inapoteza mapato sana, vile vijisehemu vilivyo mbele Ya maduka kwa wamachinga ambao hawakuwahi nafasi mapema Kariakoo, waliowahi nafasi wanakodisha vile visehemu kwa kodi Ya laki mbili kwa mwezi, wakati wapo watu wanalipa frem laki moja hadi elfu hamisini na wanalipa kodi zote za manispaa na mapato TRA, Sasa inakuaje mtu ana uwezo Wa kulipa laki mbili kwa mwezi halipi chochote zaidi Ya elfu 20 kwa mwaka,Wamachinga wa Dar wamesema wanamshukuru Rais Magufuli kwa kuwajali na kutengeneza mazingira bora ya kufanya kazi.
Wamesema hakuna Rais aliyefanyia wema kama Rais Magufuli hivyo wako tayari kuandamana ili Rais Magufuli abaki madarakani.
Aidha wamachinga wamesema uongozi waliokuwa nao kwa takribani miaka saba ni uongozi wa kiuanaharakati hivyo wanataka kuchagua viongozi kwa kukubaliana.
Matatizo mengine waliyoyataja ni pamoja na kuwa na namna rasmi ya kukopeshana ili kuweza kuongeza mitaji ya biashara.
Wamachinga wa Dar wamesema wanamshukuru Rais Magufuli kwa kuwajali na kutengeneza mazingira bora ya kufanya kazi.
Wamesema hakuna Rais aliyefanyia wema kama Rais Magufuli hivyo wako tayari kuandamana ili Rais Magufuli abaki madarakani.
Aidha wamachinga wamesema uongozi waliokuwa nao kwa takribani miaka saba ni uongozi wa kiuanaharakati hivyo wanataka kuchagua viongozi kwa kukubaliana.
Matatizo mengine waliyoyataja ni pamoja na kuwa na namna rasmi ya kukopeshana ili kuweza kuongeza mitaji ya biashara.
Kuunga mkonoWanaandamana kumpinga nani sasa?
Machinga anauza laki tatu mpaka tano kwa siku na halipi chochote zaidi ya 20,000. Kuna machinga mahali anauza zaidi ya pis 40 za viatu kwa siku na kila Pis hakosi wastani wa faida kati ya 1500-3000. Hapo ana kipato cha zaidi ya 50,000 kwa siku na halipi kodi. Raha sana hii.Kiuhalisia kupitia hawa watu serekali inapoteza mapato sana , vile vijisehem vilivyo mbele Ya maduka kwa wamachinga ambao hawakuwahi nafasi mapema kariakoo, waliowahi nafasi wanakodisha vile visehem kwa kodi Ya laki mbili kwa mwezi , wakati wapo watu wanalipa frem laki moja hadi elfu hamisini na wanalipa kodi zote za manispaa na mapato TRA , Sasa inakuaje mtu ana uwezo Wa kulipa laki mbili kwa mwezi halipi chochote zaidi Ya elfu 20 kwa mwaka,
Kwa utaratibu huu , watu lažima waache frem ili wawe machinga tu , kwa awam Hii machinga watakua wanapiga sana pesa kuliko hata baadhi Ya watu wanaomiliki frem ,
Kiuhalisi kupitia hawa watu serekali inakosa pesa Nyingi sana , maana kuna wengine wameamua kuhamishia maduka barabarani , ukiangalia mzigo alionao machinga anazidi hadi mzigo Wa kwenye frem kwa baadhi Ya maduka .
Kwa kuandamana wapo sawa ni wajanja hawa, kwan wataka kutetea masalahi yao maana wameshasoma udhaifu Wa serekali upo wapi , serekali izinduke kupitia hawa watu inapoteza mapato sana .
Mkuu katiba sio Qur'an wala Bible eti kwamba haiwezi kubadilishwaKatiba ya Tz inasemaje mkuu? Naheshimu sana maoni yako.
Mkuu katiba sio Qur'an wala Bible eti kwamba haiwezi kubadilishwaKatiba ya Tz inasemaje mkuu? Naheshimu sana maoni yako.
Mkuu kwani wewe huwezi kuwa Rais mpaka umwachie JPM awe Rais wa milele?JPM a life president, God bless your servant JPM
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Mkuu urais ni taasisi nyeti, kuna few chosen vessels like JPM ndio wanafaaa, kwangu mimi kazi yangu inanitosha, urais tumwachieni JPM.Mkuu kwani wewe huwezi kuwa rais mpaka umwachie JPM awe rais wa milele?