Imefikia hatua vijana tuliobaki na akili timamu tujipange, hawa kenge wakipita barabarani watandikwe mpaka washangae.
Kama mbwai na iwe mbwai, huu mkakati wa kuikabidhi nchi yetu tukufu kwa kinchi kama Rwanda hautafanikiwa.
Dkt Magufuli alishasema hatoongeza muda, hivi wanaosema aongeze muda wanafikiri wanamfurahisha nani? Nadhani misingi aliyoijenga Dkt. Magufuli ni muhimu tujiandae namna ya kuilinda na kuiendeleza.
Ni aibu sana kwa nchi kama Tanzania kutawaliwa na kinchi kama Rwanda.Umeshachelewa mkuu!
Rwanda sio tena rafiki zetu wa damu,hatuzikani atualikaniNi aibu sana kwa nchi kama Tanzania kutawaliwa na kinchi kama Rwanda.
Yote hii ni tamaa ya wanaCCM kujilimbikizia mali.
Duuuu!Kwa hali ilivyo sasa duniani namshangaa mtu anayeizungumzia 2025, sijui Mungu ni bibi yako