Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Kubali au ukatae wamakonde ndiyo kabila bora sana Tanzania,kabila tajiri,kabila la watu wakarimu na kabila la watu wanaojielewa sana na pia kabila ambalo halina ubinafsi kama makabila mengine.
Yaani kuna mikoa mingine ukienda kutafuta pesa au maisha wenyeji hawakuruhusu kumiliki ardhi wala nyumba ila nenda umakondeni Lindi na mtwara mgeni anaweza kumiliki ardhi kwa ma ardhi bila wenyeji kukusumbua wala kukuonea wivu ila kwa wenzetu ni hatari kabisa aisee.
Viva wamakonde, viva Mtwara the land of hope and cashew 🥜.