Ausar
JF-Expert Member
- Mar 19, 2021
- 2,369
- 3,800
Labda kama wametoka wa toleo jipyaUkarimu,heshima, hekima, haki na kujali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda kama wametoka wa toleo jipyaUkarimu,heshima, hekima, haki na kujali
Ruangwa huwa nakuja tu kikazi siishi huko..vp upo kwenye migodi auMkuu nipe location nimeingia Juzi Ruangwa hapa
Kisa wamekuuzia viplot vya laki tatu hujakuwa wwKubali au ukatae wamakonde ndiyo kabila bora sana Tanzania,kabila tajiri,kabila la watu wakarimu na kabila la watu wanaojielewa sana na pia kabila ambalo halina ubinafsi kama makabila mengine.
Yaani kuna mikoa mingine ukienda kutafuta pesa au maisha wenyeji hawakuruhusu kumiliki ardhi wala nyumba ila nenda umakondeni Lindi na mtwara mgeni anaweza kumiliki ardhi kwa ma ardhi bila wenyeji kukusumbua wala kukuonea wivu ila kwa wenzetu ni hatari kabisa aisee.
Viva wamakonde, viva Mtwara the land of hope and cashew 🥜.
Umeongea vizuri mno sema ndio karibu mtwara.Kubali au ukatae wamakonde ndiyo kabila bora sana Tanzania,kabila tajiri,kabila la watu wakarimu na kabila la watu wanaojielewa sana na pia kabila ambalo halina ubinafsi kama makabila mengine.
Yaani kuna mikoa mingine ukienda kutafuta pesa au maisha wenyeji hawakuruhusu kumiliki ardhi wala nyumba ila nenda umakondeni Lindi na mtwara mgeni anaweza kumiliki ardhi kwa ma ardhi bila wenyeji kukusumbua wala kukuonea wivu ila kwa wenzetu ni hatari kabisa aisee.
Viva wamakonde, viva Mtwara the land of hope and cashew 🥜.
Nimekuja juzi tu ndugu.Ruangwa huwa nakuja tu kikazi siishi huko..vp upo kwenye migodi au
Kubali au ukatae wamakonde ndiyo kabila bora sana Tanzania,kabila tajiri,kabila la watu wakarimu na kabila la watu wanaojielewa sana na pia kabila ambalo halina ubinafsi kama makabila mengine.
Yaani kuna mikoa mingine ukienda kutafuta pesa au maisha wenyeji hawakuruhusu kumiliki ardhi wala nyumba ila nenda umakondeni Lindi na mtwara mgeni anaweza kumiliki ardhi kwa ma ardhi bila wenyeji kukusumbua wala kukuonea wivu ila kwa wenzetu ni hatari kabisa aisee.
Viva wamakonde, viva Mtwara the land of hope and cashew 🥜.
Labda kwa mademu wao, maana wanapokea moto balaa...
View: https://youtube.com/shorts/r7Ev6u7yti8?si=-_tKakYXQdXNinq8
Mhiii ndo maana nyerere aliona mbali katupilia ukabila ..kama.comments ndo hiziKabila la hovyo kuliko yote ni la wasukuma hasa Wanyantuzu wa simiyu
Wezi(Wanadai kitu cha kuiba ni pesa tuu, vingine wanachukua),
wachafu(juzi tuu nimeona mkuu wa mkoa wa Simiyu akiwambia wanakijiji huko itilima, kua mkoa wao na wilaya vinaongoza kwa kipindupindu kwa miaka yote, kupuu nje kwao sio shida kabisa, wanasema eti mila zao haziruhusu ku puu na mkwe wako choo kimoja, hivyo ni mwendo wa pori),
Roho mbaya(anaweza akuroge ili tuu ukose choo),
wabinafsi(mgeni usijichanganye ufanye maendeleo),
uchawi ndio usiseme, inakadiriwa simiyu kuna wachawi wengi zaidi ya watu wanoishi,
Mazoea ya ajabu, ukiwakaribisha kwako wanakuja ukoo mzima wakae mpaka darini.
Hili kabila tulidanganywa sana.
Potelea kote, Lawama hapewi mbuzi nirogeni na humu,
Wataalamu wa kukata viuno. Wachaga wakienda kule huwa hawarudi tena MoshiWamakonde ni wavivu sana, Mkoa wa Lindi na Mtwara una ardhi nzuri sana ila ndio wanaishikilia mikia kwenye uchumi...
Hawa wanachojua ni kufanya mapenzi tu, kuoa mapema ni ujanja sana kwao, kua na wanawake wawili au zaidi ndiyo sifa kwa wanaume wakimakonde...
Kama unataka mke wa kukulelea watoto hapo umechemka, kwanza hawajui kufanya kazi ila Kama unataka vibuno hapo ndo maala pake ...
HA!HA!HAWataalamu wa kukata viuno. Wachaga wakienda kule huwa hawarudi tena Moshi
Boss umesema wanaroga had ku~nya?Kabila la hovyo kuliko yote ni la wasukuma hasa Wanyantuzu wa simiyu
Wezi(Wanadai kitu cha kuiba ni pesa tuu, vingine wanachukua),
wachafu(juzi tuu nimeona mkuu wa mkoa wa Simiyu akiwambia wanakijiji huko itilima, kua mkoa wao na wilaya vinaongoza kwa kipindupindu kwa miaka yote, kupuu nje kwao sio shida kabisa, wanasema eti mila zao haziruhusu ku puu na mkwe wako choo kimoja, hivyo ni mwendo wa pori),
Roho mbaya(anaweza akuroge ili tuu ukose choo),
wabinafsi(mgeni usijichanganye ufanye maendeleo),
uchawi ndio usiseme, inakadiriwa simiyu kuna wachawi wengi zaidi ya watu wanoishi,
Mazoea ya ajabu, ukiwakaribisha kwako wanakuja ukoo mzima wakae mpaka darini.
Hili kabila tulidanganywa sana.
Potelea kote, Lawama hapewi mbuzi nirogeni na humu,
Boss umesema wanaroga had ku~nya?Kabila la hovyo kuliko yote ni la wasukuma hasa Wanyantuzu wa simiyu
Wezi(Wanadai kitu cha kuiba ni pesa tuu, vingine wanachukua),
wachafu(juzi tuu nimeona mkuu wa mkoa wa Simiyu akiwambia wanakijiji huko itilima, kua mkoa wao na wilaya vinaongoza kwa kipindupindu kwa miaka yote, kupuu nje kwao sio shida kabisa, wanasema eti mila zao haziruhusu ku puu na mkwe wako choo kimoja, hivyo ni mwendo wa pori),
Roho mbaya(anaweza akuroge ili tuu ukose choo),
wabinafsi(mgeni usijichanganye ufanye maendeleo),
uchawi ndio usiseme, inakadiriwa simiyu kuna wachawi wengi zaidi ya watu wanoishi,
Mazoea ya ajabu, ukiwakaribisha kwako wanakuja ukoo mzima wakae mpaka darini.
Hili kabila tulidanganywa sana.
Potelea kote, Lawama hapewi mbuzi nirogeni na humu,
Mtoa mada ngoja nikuambie makabila poa kusini ambao hawana roho ya korosho ni Wakakua kabila la Mkapa, wamwera Kwa Pm majaliwa, na wayao
Wamakonde wapo wa pwani wanajiita Wamaraba hao Kila kitu wanajua, wambwenyenye na wavivu na wa bara hao ni wapambanaji na wabahili wapare wakasome na roho ya kwa nini, ukitaka uamini nenda kafanye bizness Newala, Tandahimba, Kitangali kama ujuhi kimamonde wateja hawafiki
Wageni wanaenda kuwekeza Ruangwa, Masasi, Nanyumbu maana hamna kujuana hizo sehemu
Wako uchidachi? wako kunengela chani, Chinduli kimeiva (hahah sijuhi kama nimepatia kidogo)
Ukarimu,heshima, hekima, haki na kujali
The way nilivyoelewa, ni jokes za makabila yetu. Ila haina maana ni serious kihivyo. Kutaniana na kupitisha ukweli humo humoHii mada labda ni ya nchi jirani na siyo Tanzania
Kabila la hovyo kuliko yote ni la wasukuma hasa Wanyantuzu wa simiyu
Wezi(Wanadai kitu cha kuiba ni pesa tuu, vingine wanachukua),
wachafu(juzi tuu nimeona mkuu wa mkoa wa Simiyu akiwambia wanakijiji huko itilima, kua mkoa wao na wilaya vinaongoza kwa kipindupindu kwa miaka yote, kupuu nje kwao sio shida kabisa, wanasema eti mila zao haziruhusu ku puu na mkwe wako choo kimoja, hivyo ni mwendo wa pori),
Roho mbaya(anaweza akuroge ili tuu ukose choo),
wabinafsi(mgeni usijichanganye ufanye maendeleo),
uchawi ndio usiseme, inakadiriwa simiyu kuna wachawi wengi zaidi ya watu wanoishi,
Mazoea ya ajabu, ukiwakaribisha kwako wanakuja ukoo mzima wakae mpaka darini.
Hili kabila tulidanganywa sana.
Potelea kote, Lawama hapewi mbuzi nirogeni na humu,
Wewe ndio umesema ukweli halisi, wamakua wenyewe wanawakimbia wamakonde. Umesahau uchoyo wa chakula hadi kwa familia zao.Mtoa mada ngoja nikuambie makabila poa kusini ambao hawana roho ya korosho ni Wakakua kabila la Mkapa, wamwera Kwa Pm majaliwa, na wayao