Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
mgawo wa umeme?Ni sahihi kabisa
Ninapowakubali zaidi wapo makini Sana kwenye mgawo wa umeme
Kukatika?Sidhani kama wanawazidi wadigo!
Sijui umemanisha nini kuhusu wapareKukatika?
Wasukuma hawa hawa ninaowajua Mimi? Kwa taarifa yako wasukuma nawajua nje ndani aiseeRoho mbaya umeisahau, uchoyo, majivuno. Kabila haswa wasukuma bhana ukipata rafiki umepata.
Nimeoa mnyantuzu ila ninayoyapitia aisee,hawa watu ni wanafiki sijawahi kuwaona anakuigizia kwenye uchumba ila muoe ndiyo utajua aisee wapo kimaslahi tu baada ya kumuoa ananiuliza napokea shilingi ngapi weeeeKabila la hovyo kuliko lote ni la wasukuma hasa Wanyantuzu..
Wezi, wachafu, roho mbaya, wabinafsi, uchawi ndio usiseme anaweza akuroge ili tu ukose choo...
Hili kabila tulidanganywa sana.
Potelea kote, Lawama hapewi mbuzi nirogeni na humu.
Ngida safi sanaNaishi lindi huku n peace sana sijawahi kuona watu wakigombana..nataka niwe na getto mtwara,masasi..na dar na singida ndo mikoa yangu pendwa ...sana
Tuko pamoja harmonizeeeeeeee
Hahahahah we jamaa unachuki binafsi mbona ni watu peace sanaKabila la hovyo kuliko lote ni la wasukuma hasa Wanyantuzu..
Wezi, wachafu, roho mbaya, wabinafsi, uchawi ndio usiseme anaweza akuroge ili tu ukose choo...
Hili kabila tulidanganywa sana.
Potelea kote, Lawama hapewi mbuzi nirogeni na humu.
Labda mnyatunzu wa mwendokasiNimeoa mnyantuzu ila ninayoyapitia aisee,hawa watu ni wanafiki sijawahi kuwaona anakuigizia kwenye uchumba ila muoe ndiyo utajua aisee wapo kimaslahi tu baada ya kumuoa ananiuliza napokea shilingi ngapi weeee
HawajielewiKubali au ukatae wamakonde ndiyo kabila bora sana Tanzania,kabila tajiri,kabila la watu wakarimu na kabila la watu wanaojielewa sana na pia kabila ambalo halina ubinafsi kama makabila mengine.
Yaani kuna mikoa mingine ukienda kutafuta pesa au maisha wenyeji hawakuruhusu kumiliki ardhi wala nyumba ila nenda umakondeni Lindi na mtwara mgeni anaweza kumiliki ardhi kwa ma ardhi bila wenyeji kukusumbua wala kukuonea wivu ila kwa wenzetu ni hatari kabisa aisee.
Viva wamakonde, viva Mtwara the land of hope and cashew 🥜.