Wamakonde ndiyo kabila bora sana Tanzania

Hii mada labda ni ya nchi jirani na siyo Tanzania
 
Nimeoa mnyantuzu ila ninayoyapitia aisee,hawa watu ni wanafiki sijawahi kuwaona anakuigizia kwenye uchumba ila muoe ndiyo utajua aisee wapo kimaslahi tu baada ya kumuoa ananiuliza napokea shilingi ngapi weeee
Kukuuliza unapokea shilingi ngapi hilo swali wanaulizaga wanawake wote na siyo swali la kabila fulani.
 
Kabila la hovyo kuliko lote ni la wasukuma hasa Wanyantuzu..

Wezi, wachafu, roho mbaya, wabinafsi, uchawi ndio usiseme anaweza akuroge ili tu ukose choo...
Hili kabila tulidanganywa sana.

Potelea kote, Lawama hapewi mbuzi nirogeni na humu.
Kumekucha ngoja niikuitie ntuzu og@kiranga
 
Umeme up
Wala panya nawapendea kitu kimoja ni wachangamfu huwezi jisikia mpweke basi siku moja nimeenda chitoholi oya 🀣mwana nikamkuta anakula yupo serias bas s nikapiga kipande cha Nyama baadae akaniambia mkuu Ile ni nyama ya mouse🀣πŸ₯Ά
 
Sidhani kama wanawazidi wadigo!
π‘²π’‚π’ƒπ’Šπ’π’‚ π’π’Šπ’π’‚ π’Žπ’‚π’Žπ’ƒπ’ π’šπ’‚ π’‰π’π’—π’šπ’ π’‰π’Šπ’π’Š 𝒉𝒂𝒔𝒂 π’˜π’‚π’π’‚π’˜π’‚π’Œπ’† π’‰π’‚π’˜π’‚π’‡π’‚π’Š
 
Wasukuma hawa hawa ninaowajua Mimi? Kwa taarifa yako wasukuma nawajua nje ndani aisee
𝑯𝒂𝒐 𝒉𝒂𝒐 π’˜π’†π’˜π’† π’–π’π’Šπ’‘π’‚π’•π’‚ π’‡π’†π’Œπ’Š π’Žπ’‚π’‚π’π’‚ 𝒔𝒂𝒔𝒂 π’‰π’Šπ’—π’Š π’˜π’‚π’π’‚π’‡π’Šπ’Œπ’Š π’˜π’‚π’Žπ’†π’‹π’‚π’›π’‚π’π’‚
 
Kabila la hovyo kuliko lote ni la wasukuma hasa Wanyantuzu..

Wezi, wachafu, roho mbaya, wabinafsi, uchawi ndio usiseme anaweza akuroge ili tu ukose choo...
Hili kabila tulidanganywa sana.

Potelea kote, Lawama hapewi mbuzi nirogeni na humu.
Hahahaaa
 
Nimeoa mnyantuzu ila ninayoyapitia aisee,hawa watu ni wanafiki sijawahi kuwaona anakuigizia kwenye uchumba ila muoe ndiyo utajua aisee wapo kimaslahi tu baada ya kumuoa ananiuliza napokea shilingi ngapi weeee
Sasa mkuu mke wako kukuuliza kipato chako ana kosa gani?
 
Naishi lindi huku n peace sana sijawahi kuona watu wakigombana..nataka niwe na getto mtwara,masasi..na dar na singida ndo mikoa yangu pendwa ...sana

Tuko pamoja harmonizeeeeeeee
Mkuu nipe location nimeingia Juzi Ruangwa hapa
 
Nimeoa mnyantuzu ila ninayoyapitia aisee,hawa watu ni wanafiki sijawahi kuwaona anakuigizia kwenye uchumba ila muoe ndiyo utajua aisee wapo kimaslahi tu baada ya kumuoa ananiuliza napokea shilingi ngapi weeee
Kwani ni ndugu yako huyo,si unafukuza unavuta chombo kingine.
Waafrika mnapenda kugandana kama kupe.
 
Wanapenda uchi kuliko kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…